Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 97
Huyo jamaa aliyeoa dada yake anagombea kiti gani?
Kama hakombei chochote basi hiyo mada haituhusu na ni udaku.
Na hao watoto wenye pasi za nchi mbili mbili wako chini ya miaka 18?
Kama ni watu wazima, haimhusu baba yao, wala sisi haituhusu. Si forum ya mipasho ya watoto wa Shelukindo.
Thank!@!! great mind think alike....nimesema same thing kuwa huyu Baraka hata hana nina ya kugombea kiti chochote na wala hayupo kwenye mambo ya siasa how come anaongelewa issue zake hapa.....hii issue inafaa wale ambao wako mstari wa mbele kugombea hicho kiti cha ubunge huko Bumbuli,