Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
IGP sio lazima atokee makao makuu ... Mahita hakutoka makao Makuu. Said Mwema (current IGP) alikuwa Interpool Nairobi.
Mahundi alitokea wapi akawa IGP?
IGP sio lazima atokee makao makuu ... Mahita hakutoka makao Makuu. Said Mwema (current IGP) alikuwa Interpool Nairobi.
IGP sio lazima atokee makao makuu ... Mahita hakutoka makao Makuu. Said Mwema (current IGP) alikuwa Interpool Nairobi.
Mkurugenzi wa utawala na rasilimali ni ngazi ya juu kabisa anaweza kuja kuwa IGP
hivi kamanda Ntobi yupo wapi siku hizi.....?
Ni upumbavu kutumia "falsafa" sehemu ambapo sipo.....umeitumia pasipo......kwa sababu hujui majukumu aliyopewa sasa hivi ndio maana unatumia misemo kimakosa..........kama ungejua wala usingeandika huu upuuzi "Makamanda Polisi Mikoa Arusha na Mbeya wateremshwa vyeo"...and the likes of "demotion by promotion".......
Ndugu Candid Scope naomba na mimi kabla sijaanza kuporomosha matusi unijuze what u really mean by 'demotion by promotion'..maana nimeitafuta hii philosophy ata kwenye google nimekosa! tuelimishane tafadhali...
Jamani nauliza hivi Kamanda Laurian Tibasana yupo wapi? Kwani toka mwaka 2006 kikwete alipolifumua jeshi la polisi na kumpeleka Adadi Rajabu kuwa Balozi kamanda Tibasana hakusikika tena
Ni jambo la kawaida katika utawala na uongozi kama anafanya yale ambayo hayakubaliki kitaaluma au kiutendaji, na pengine kupitiliza yanayotarajiwa, na kwa kuwa dhana ya kulindana na kuheshimiana ikipewa nafasi, basi mtu yule anapandishwa daraja au kupewa wajibu mwingine unaoonekana kuwa wa juu zaidi kuliko aliokuwa nao, lakini lengo ni kumwondoa katika nafasi aliyo nayo na hufanyika hivyo ili asijisikie vibaya.
Jambo kama hilo ni la kawaida katika nyanja mbalimbali za uongozi katika mashirika na taasisi za kiserikali na kidini. Sihitaji kutoa mifano hapa nachelea kumwaga mtama kwenye kuku wengi.
Kinadharia anaonekana kama kapanda cheo, lakini kiuhalisia amenyang'anywa maamuzi, pamoja na ulaji.
Yaani ni sawa na Mkurugenzi wa Halmashauri au Manispaa akipandishwa cheo kwenda Mkoani hapo umemuua kabisa
Kichwa cha habari kinatueleza Uongo, hakuna waliyeteremshwa Vyeo
TAFADHALI REKEBISHA HIYO TITLE YAKO
Mungi watu hawataki kwenda Dar es Salaam makao makuu! Huko kila mtu ni mkubwa. Wewe kwa mfano utoke kuwa RPC mwanza (yaani IGP wa Mwanza) halafu uhamishiwe sijui kuwa mkuu wa kitengo makao makuu! Nani anataka hiyo ukiamka IGP huyu hapa, ukigeuka DCI huyu hujakaa sawa Waziri huyu kabla hujajipanga sijui Mkurugenzi gani huyu; nani anataka hiyo?Kinadharia anaonekana kama kapanda cheo, lakini kiuhalisia amenyang'anywa maamuzi, pamoja na ulaji.
Yaani ni sawa na Mkurugenzi wa Halmashauri au Manispaa akipandishwa cheo kwenda Mkoani hapo umemuua kabisa
Mungi watu hawataki kwenda Dar es Salaam makao makuu! Huko kila mtu ni mkubwa. Wewe kwa mfano utoke kuwa RPC mwanza (yaani IGP wa Mwanza) halafu uhamishiwe sijui kuwa mkuu wa kitengo makao makuu! Nani anataka hiyo ukiamka IGP huyu hapa, ukigeuka DCI huyu hujakaa sawa Waziri huyu kabla hujajipanga sijui Mkurugenzi gani huyu; nani anataka hiyo?
Ukiwa mkoani wewe na mkuu wa mkoa tu basi hakuna kingine. Budget ya mkoa yako kama mkoa una madini kesi zinaanzia kwako na makandokando mengine kibaaaao.
We si kiwango changu, unaposhindwa kutafsiri falsafa ya "demotion by promotion" umeamua kutelemsha matusi kama hayo, kwa kawaida anayekasirika na kuanza kumtukana mtu ni yule ambaye hutumia hoja ya nguvu badala ya nguvu ya hoja. Pole sana, hiyo ndiyo hali halisi ukubali au usikubali ukweli ndio huo.
Waliotuliza bongo hapa Jamii forums hushindana kwa hoja, hoja ikikushinda bora kusepa kuliko kuanza kulipuka kwa matusi kama ufanyavyo.
cray........hapa hakuna ubishi Mkuu.....hapa ni elimu kwa kwenda mbele......ukiingiza ushabiki/ubishi utakuwa huelimiki kwenye haya masuala ambayo ni basic.......na hasa kwenye hili la uteuzi mpya wa makamanda wa mapolisi........just open your mind and learn!....usifuate mambo ya mikumbo ya ushabiki na kwamba eti ulisikia.......pia.......isome vizuri hiyo falsafa na unatakiwa uelewe hawa watu walipopelekwa/walipohamishiwa na kujua wanachoenda kukifanya.......then use your intelligence to judge/determine........Unajua wewe ni mbishi kuelewa falsafa hii, mbona iko wazi " demotion by promotion" wewe unajiona umepandishwa cheo lakini hata ukilala ukianza kutafakari eneo ulilopelekwa hakuna issue. Kwanza vyeo walivyokua navyo viliwafanya wajulikane sana na hali ya watanzania walikua wakiogopwa sana. Sasa huku walikopelekwa saa ngapi watajulikana. nani atawaogopa. Sanasana watakachokutana nacho ni shikamoo nyingi tu. Nakwataarifa yako wengi kati yao watakimbia tu.
Staki kubishana na wewe.
Ni jambo la kawaida katika utawala na uongozi kama anafanya yale ambayo hayakubaliki kitaaluma au kiutendaji, na pengine kupitiliza yanayotarajiwa, na kwa kuwa dhana ya kulindana na kuheshimiana ikipewa nafasi, basi mtu yule anapandishwa daraja au kupewa wajibu mwingine unaoonekana kuwa wa juu zaidi kuliko aliokuwa nao, lakini lengo ni kumwondoa katika nafasi aliyo nayo na hufanyika hivyo ili asijisikie vibaya.
Jambo kama hilo ni la kawaida katika nyanja mbalimbali za uongozi katika mashirika na taasisi za kiserikali na kidini. Sihitaji kutoa mifano hapa nachelea kumwaga mtama kwenye kuku wengi.
Kabla ya 2015? Kwani Mwema amekaribia sana kustaafu?
By the way, naona Andengenye anafaafaa mwenye hiyo nafasi, in case...