Makamanda nguvu zimewaishia kabisa

Makamanda nguvu zimewaishia kabisa

Muhuni nani asiye taka ishidani huru au anaye taka ushindani huru, maana waongo na wahun mmejazana huko ccm mnao kodi wanywa gongo kuvamia mikutano ya wapinzan usjisahaulize kuwa hujui muhuni ninan nchi hii, CCM ni wahuni mmelelewa katika misingi ya uongo si wanawake si wanaume .
Mnanunua sare za ccm na kuwatafuta wavuta bangi na wanywa gongo maana viroba hakuna na kutaka kutuaminisha hao ni wana ccm mpango wenu umeshtukiwa ndio maana mnapuuzwa jipangenj!
 
msitu umetiwa moto hawajui wafanyaje kamba shingoni fimbo matakoni!
Hawa polisi siku wakitambua kuwa wapinzani ni watz si wakenya ndio itakuwa mwisho wa vicheke na kebehi za fisiem.Baada ya utumwa wa miaka 37,hv jeshi La Zimbabwe wlijitambua ,Mugabe akazimaaa
 
Aah ah aha haa mnanunua sare za ccm na kutaka kutuaminisha mipango yenu mnayoicheza mmeshtukiwa

Mimi siwashauri cdm kushiriki tena uchaguzi wowote kuanzia sasa maana ccm imedhihirika hamuwezi ushindani. Mtaishia kuumiza wapinzani bila sababu. Udhaifu wa mwenyekiti wenu kwenye ushindani wa kisiasa kauambukiza kwenye chama kizima. Kama mlidhani mnakubalika basi mmejionea wenyewe.
 
Mnanunua sare za ccm na kuwatafuta wavuta bangi na wanywa gongo maana viroba hakuna na kutaka kutuaminisha hao ni wana ccm mpango wenu umeshtukiwa ndio maana mnapuuzwa jipangenj!
Mmezoeleka kwa uongo na kusingizia nafsi zenu zinawasuta nyie kama walikuwa wahalifu polisi wangewashughulikia kama wale wa kibiti lakin kwa vile walikuwa nataarifa ndio maana wakacheza viwanja vya nyumban unajishaua tu wauaji nyie ushindi wa upanga.
 
Mimi siwashauri cdm kushiriki tena uchaguzi wowote kuanzia sasa maana ccm imedhihirika hamuwezi ushindani. Mtaishia kuumiza wapinzani bila sababu. Udhaifu wa mwenyekiti wenu kwenye ushindani wa kisiasa kauambukiza kwenye chama kizima. Kama mlidhani mnakubalika basi mmejionea wenyewe.
Mimi siwashauri cdm kushiriki tena uchaguzi wowote kuanzia sasa maana ccm imedhihirika hamuwezi ushindani. Mtaishia kuumiza wapinzani bila sababu. Udhaifu wa mwenyekiti wenu kwenye ushindani wa kisiasa kauambukiza kwenye chama kizima. Kama mlidhani mnakubalika basi mmejionea wenyewe.
utakua umefanya hasira na mchezo hautaki hasira!
 
Hawa polisi siku wakitambua kuwa wapinzani ni watz si wakenya ndio itakuwa mwisho wa vicheke na kebehi za fisiem.Baada ya utumwa wa miaka 37,hv jeshi La Zimbabwe wlijitambua ,Mugabe akazimaaa
Anaetawala ni chama gani!
 
Mmezoeleka kwa uongo na kusingizia nafsi zenu zinawasuta nyie kama walikuwa wahalifu polisi wangewashughulikia kama wale wa kibiti lakin kwa vile walikuwa nataarifa ndio maana wakacheza viwanja vya nyumban unajishaua tu wauaji nyie ushindi wa upanga.
Kasuku wa kihindi mpaka mbalishiwe maneno ndio mkariri mapya hivi sasa hamna mengine!
 
utakua umefanya hasira na mchezo hautaki hasira!

Siasa za ushindani imemshinda mwenye kigoda wenu, kawaambukiza na nyinyi. Endeleeni peke yenu acheni tubaki kwenye huu mgao wa umeme bila mtu wa kuhoji. Siwashauri cdm kuendelea na siasa mahali siasa zinaendeshwa kimauaji.
 
sidhani kama mbowe yupo tayari kuachia KUB na ruzuku ipite mgongoni kamwe kususia haitotokea kamwe!
 
Mbowe atajua yeye, lakini ukweli ule upuuzi mmefanya kwenye uchaguzi wa juzi watanzania wengi wamejiridhisha kwamba hamuwezi siasa za ushindani. Bakini mshindane na vyama vya kina Dovutwa, Cheyo, Mrema na CUF ya Lipumba. Tumeshawapuuza.
 
Mengi yaliyoripotiwa na kutiwa chumvi ni uoga wa mbowe kutaka kuficha udhaifu wa chama kuangukia pua!
 
One day mkuu tutaonana siasa sio uadui lakini nyinyi huwa sometimes mnapaniki mpaka mlimsusia msiba mwakyembe!
Pumbavu kabisa. kususa msiba nakuuana kipi kibaya ?usipende kutetea ujinga hapa duniani tunapita tu .au mnamkataba na Mungu wakuishi milele ??hata huyo shetani mnaemtumikia anawashangaa kabisa.
 
Punguza jazba!
 
Makamanda wanatamani kumlisha maneno lissu ili aseme yale wanayoyawaza wao vichwani mwao kuhusu watu waliomjeruhi kwa risasi,

makamanda nguvu zimewaishia kabisa waliposikia muhanga hawajui waliomjeruhi kwa risasi wakati wao zana yao ilikua fulani,
mpaka muda huu wamebaki kubadili maelezo aliyatoa lissu ya kumpatia salama makamu wa rais amfikishie rais
pia wanakataa kuwa hakusema hivyo

Sasa hii ni albadir maneno aseme lissu kwa akili zake leo makamanda wanasema siyo yale,
walitegemea lissu atakua siyo muungwana aanze kumshambulia rais kama wanavyohisi

Ukichanganya na huu msongo wa kupata kata moja makamanda nguvu zimekwisha kabisa!

Poleni makamanda ndio siasa katikati ya wanasiasa msiishi kwa zana na chuki!
KUMBE NDIO MAANA MMEAMUA KUHAMIA KWA NASSARI BAADA YA LISSU KUSEMA HAJUI WALIOMSHAMBULIA. ILA JUENI KWAMBA SIKU YAJA MAOVU YENU YOTE YATAWEKWA WAZI
 
Back
Top Bottom