Makamanda nguvu zimewaishia kabisa

Makamanda nguvu zimewaishia kabisa

msitu umetiwa moto hawajui wafanyaje kamba shingoni fimbo matakoni!
Nyie wabaya sana huu ujinga wenu ndio munao muambukizia ba jesica,,,,,mpaka anaoneka kituko duniani wakati nyie mlio mshauri,mmejificha kwenye kivuli cha CCM haaahaaa eti washauri.

Duh,, washauri my foot
 
Na kila tukiwashauri wanapotezwa na uongozi hawataki sikia, ila tuwaache waugulie, si mchezo, ni kipigo kitakatifu, wasiwasi ni baada ya miaka 3, maana kwa kasi hii hata Ubunge watapoteza wengi, kuanzia Kawe..
wanapanga kususa lakini mkubwa wa kambi kila akichungulia mfuko wa ruzuku nafsi inamshinda tamaa na njaa!
 
Nasoma kwa masikitiko sipendi na sitaki kuona maiti haijalishi ni chadema ,ccm, cuf au yeyote, sipendi wala sitaki kuona uonevu haijalishi anafanyiwa nani ,naogopa na kuchukia mateso wanayopewa watu haijalishi anafanyiwa mtu wa chama gani. Ushabiki wetu kwa mambo ya ajabu haya utatupeleka kubaya, baada ya walengwa kuisha nani anajua ni zamu ya nani? Watawala wetu inawezekana ni wazuri ila wafuasi wao wanapowashangilia kwa kufanya mabaya dhidi ya watanzania wenzetu wanahisi wanafurahisha wafuasi wao na hivyo kuongeza kasi ya utesi, uonevu nk ila kuna msemo usemao mwenzio akinyolewa nywele tia maji zako.
Nadhani kama wana wa Tanzanian tunayo ya kupongezana, kushauriana, kuonyana ili hatimae tuwe taifa Kubwa lenye uchumi mzuri na ustawi wa jamii usiotiliwa Shaka.
Mpaka muda huu wangapi hapo kwenu wameshauwawa!
 
Back
Top Bottom