Makamanda nguvu zimewaishia kabisa

Makamanda nguvu zimewaishia kabisa

Weeeeeeee polisi walivyo jeruhi raia vile unadhan watakuwa na nguvu itoke wapi huku polisi wanawakamata huku greenguard wana washambulia na mapanga na kuwateka ?? Ngoja wawatibu majeruhi kwanz maan ile ilikuwa vita sio uchaguzi
Polisi wapo tayari kupambana na makundi ya wahuni ambayo yanataka kuvunja amani!
 
Vipi wale walio vunja amani na kuwakata mapanga wana CHADEMA polisi walishuhulika nao sio! Au wale hawakuvunja aman? Amani inavunjwa na upizani pekeee wakivuja CCM haihusiki? Hahahaaa kuna mambo ili uyatetee lazima uwe una tatizo la akili
 
Mlikopata kata moja ni zambia na hamkupambana na ccm!

Mkuu leo nimekutana na kiongozi mmoja wa ccm sitomtaja kwa usalama wake, anasema bora zamani mlikuwa mnaiba kura, ila sasa hivi mmelazimisha kujitangaza washindi. Duu mpaka anasema anaona aibu maana hata viongozi wa dini waliokuwa wanaisifia ccm anasema wamemuambia uchaguzi huu haukuwa mzuri.
 
Hapana shaka wewe na jingalao ni mtu mmoja.. Mnakuwa na ID nyingi ili muongezee kipato kupitia buku saba saba. Anyway tushawashtukia..
 
Mkuu leo nimekutana na kiongozi mmoja wa ccm sitomtaja kwa usalama wake, anasema bora zamani mlikuwa mnaiba kura, ila sasa hivi mmelazimisha kujitangaza washindi. Duu mpaka anasema anaona aibu maana hata viongozi wa dini waliokuwa wanaisifia ccm anasema wamemuambia uchaguzi huu haukuwa mzuri.
Viongozi wa dini unawaamini sana mkuu!
 
Makamanda wanatamani kumlisha maneno lissu ili aseme yale wanayoyawaza wao vichwani mwao kuhusu watu waliomjeruhi kwa risasi,

makamanda nguvu zimewaishia kabisa waliposikia muhanga hawajui waliomjeruhi kwa risasi wakati wao zana yao ilikua fulani,
mpaka muda huu wamebaki kubadili maelezo aliyatoa lissu ya kumpatia salama makamu wa rais amfikishie rais
pia wanakataa kuwa hakusema hivyo

Sasa hii ni albadir maneno aseme lissu kwa akili zake leo makamanda wanasema siyo yale,
walitegemea lissu atakua siyo muungwana aanze kumshambulia rais kama wanavyohisi

Ukichanganya na huu msongo wa kupata kata moja makamanda nguvu zimekwisha kabisa!

Poleni makamanda ndio siasa katikati ya wanasiasa msiishi kwa zana na chuki!
Aise wewe ni retarded kabisa
 
Hahahaaaa mnajisifu kwa ushindi wa upaga!? Na vipi je mmesha fuatilia kuwa ni idadi kiasi gani walio jitokeza kupiga kura na idadi ya waloo jiandikisha maeneo hayo?
waliojitokeza kipindi cha kampeni kusikiliza sera za chama pendwa na ni wanachama waaminifu ndio idadi ilioyowapa ndio iliojitokeza na kupiga kura sio zile photoshop!
 
Makamanda wanatamani kumlisha maneno lissu ili aseme yale wanayoyawaza wao vichwani mwao kuhusu watu waliomjeruhi kwa risasi,

makamanda nguvu zimewaishia kabisa waliposikia muhanga hawajui waliomjeruhi kwa risasi wakati wao zana yao ilikua fulani,
mpaka muda huu wamebaki kubadili maelezo aliyatoa lissu ya kumpatia salama makamu wa rais amfikishie rais
pia wanakataa kuwa hakusema hivyo

Sasa hii ni albadir maneno aseme lissu kwa akili zake leo makamanda wanasema siyo yale,
walitegemea lissu atakua siyo muungwana aanze kumshambulia rais kama wanavyohisi

Ukichanganya na huu msongo wa kupata kata moja makamanda nguvu zimekwisha kabisa!

Poleni makamanda ndio siasa katikati ya wanasiasa msiishi kwa zana na chuki!
Mwenye akili timamu hawezi kushabikia wauaji wa CCM
 
Tutaanza kuona ID mpya zinafunguliwa na makamanda ambao wameamua kuachana na siasa za Chadema kabisa na kujibadilisha hata ID zao hapa jamvini. Ndio walivyo hao. Mara oh Slaa rais wa mioyoni, mara paap Slaa ni dokta mihogo. Leo Wema kawatibua ile mbaya. Maulid yao imekuwa ni kilio cha msiba.
 
Vipi wale walio vunja amani na kuwakata mapanga wana CHADEMA polisi walishuhulika nao sio! Au wale hawakuvunja aman? Amani inavunjwa na upizani pekeee wakivuja CCM haihusiki? Hahahaaa kuna mambo ili uyatetee lazima uwe una tatizo la akili
Lile ni kundi la wahuni mimi najua wanachadema wangekwenda polisi kufungua mashitaka ya kushambuliwa na vibaka wenzao ambao walijivisha nguo za ccm kwa mpango maalumu wa kuipaka matope ccm,mbona chadema walinunua sare nyingi za ccm kabla ya kampeni!
 
Mkuu kipara kipya huwa natamani nikuone, kwa propaganda hizi unaonekana lazima utakuwa ni mzee. Propaganda hizi zilitumika na wazee wa ccm enzi za mfumo wa vyama vingi unaingia nchini eti vitaleta vita.
 
Siwaamini ila ndio wenye soni kwenye uhayawani hata kama huogopa kusema ukweli kwa unafiki wao.
Tena usiwaamini hata kidogo sema hivi sasa kidogo wamepunguza unafiki kwa sababu rais anafanya kazi nzuri na iliyotukuka!
 
Mkuu kipara kipya huwa natamani nikuone, kwa propaganda hizi unaonekana lazima utakuwa ni mzee. Propaganda hizi zilitumika na wazee wa ccm enzi za mfumo wa vyama vingi unaingia nchini eti vitaleta vita.
One day mkuu tutaonana siasa sio uadui lakini nyinyi huwa sometimes mnapaniki mpaka mlimsusia msiba mwakyembe!
 
Tena usiwaamini hata kidogo sema hivi sasa kidogo wamepunguza unafiki kwa sababu rais anafanya kazi nzuri na iliyotukuka!

Sijawahi kuwaamini utasemaje nisiwaamini? Tena baada ya Lissu kupigwa risasi ndio hutokaa uwaone wakipanua midomo, nani yuko tayari kufa akose sadaka? Wote wanajua rais wetu ni mtu anayeongoza kwa kutia hofu wananchi wake na analazimishwa kupendwa kwa kuogopwa. Ukiongea nao hakuna anayeona maendeleo yoyote ya tofauti ambayo wanaweza kusifia toka rohoni ila kwa kuwa mkuu anataka kusifiwa usishangae wakisema wameoteshwa na Mungu kwamba ndani ya miaka mitatu ijayo US itakuja kuomba misaada hapa nchini. Sasa hivi rais wetu analeta maendeleo machache ambayo hata huko nyuma yalikuwepo, lakini amezidisha hofu dhidi ya watawaliwa hivyo taifa letu limezalisha wanafiki, waoga na watu wanaojipendekeza ile mbaya.
 
One day mkuu tutaonana siasa sio uadui lakini nyinyi huwa sometimes mnapaniki mpaka mlimsusia msiba mwakyembe!

Mimi sina tatizo la siasa za ushindani kwakuwa nina siasa za wastani. Wenye shida ni wale ccm damu na cdm damu. Huko kwa Mwakyembe sijui ni akina nani walisusia, shida na nyie wapiga propaganda wote hamueleweki ni saa ngapi mnasema jambo serious na saa ngapi mko kwenye propaganda. Magufuli mwenyewe ninamchana hapa jukwaani kila siku, lakini akiniita nitaenda natampa ukweli wake na bado atanielewa na tutaachana tukiwa tunacheka. Akikutana na mimi ataamini kakutana na mpinzani wa hoja, hebu niandalie siku nionane naye.
 
Sijawahi kuwaamini utasemaje nisiwaamini? Tena baada ya Lissu kupigwa risasi ndio hutokaa uwaone wakipanua midomo, nani yuko tayari kufa akose sadaka? Wote wanajua rais wetu ni mtu anayeongoza kwa kutia hofu wananchi wake na analazimishwa kupendwa kwa kuogopwa. Ukiongea nao hakuna anayeona maendeleo yoyote ya tofauti ambayo wanaweza kusifia toka rohoni ila kwa kuwa mkuu anataka kusifiwa usishangae wakisema wameoteshwa na Mungu kwamba ndani ya miaka mitatu ijayo US itakuja kuomba misaada hapa nchini. Sasa hivi rais wetu analeta maendeleo machache ambayo hata huko nyuma yalikuwepo, lakini amezidisha hofu dhidi ya watawaliwa hivyo taifa letu limezalisha wanafiki, waoga na watu wanaojipendekeza ile mbaya.
Yaani mkiambiwa mlipe kodi,muwajibike maofisini kuwahudumia wananchi kwa wakati,kuwakamata wala rushwa ndio kuwatia hofu wananchi!
 
Makamanda wanatamani kumlisha maneno lissu ili aseme yale wanayoyawaza wao vichwani mwao kuhusu watu waliomjeruhi kwa risasi,

makamanda nguvu zimewaishia kabisa waliposikia muhanga hawajui waliomjeruhi kwa risasi wakati wao zana yao ilikua fulani,
mpaka muda huu wamebaki kubadili maelezo aliyatoa lissu ya kumpatia salama makamu wa rais amfikishie rais
pia wanakataa kuwa hakusema hivyo

Sasa hii ni albadir maneno aseme lissu kwa akili zake leo makamanda wanasema siyo yale,
walitegemea lissu atakua siyo muungwana aanze kumshambulia rais kama wanavyohisi

Ukichanganya na huu msongo wa kupata kata moja makamanda nguvu zimekwisha kabisa!

Poleni makamanda ndio siasa katikati ya wanasiasa msiishi kwa zana na chuki!
Ulimpa wmanaona akuandikie au?
 
Lile ni kundi la wahuni mimi najua wanachadema wangekwenda polisi kufungua mashitaka ya kushambuliwa na vibaka wenzao ambao walijivisha nguo za ccm kwa mpango maalumu wa kuipaka matope ccm,mbona chadema walinunua sare nyingi za ccm kabla ya kampeni!
Hahahaaaa vibaka siku hizi wanavamiambele polisi aisee kweli jeshi letu sasa hivi basi limejichokea yaani vibaka wanakuja na askari yupo !? Hadi anaondoka polisi ana mtizama tuuu!! Uzuri nlikuwepo eneo la tukio kadanganye wehu wenzio huko mnashangilia ushindi ambao hakuna uliye shindana naye, ushind wa panga,,kweli mpo mahututi.
 
Back
Top Bottom