Makalio wanawake siku hizi mnayatoa wapi?

Makalio wanawake siku hizi mnayatoa wapi?

image001_thumb2.jpg
 
Tumechoka kusoma post za kipuuzi. Ningekuwa moderator ningekulamba ban ya maisha. Kama huna topiki ya maana, tulia kimya. Enough is enough.


Sioni Kama Kuna Post Ya Kipuuzi Hapa Kwani Wenzio Tunajifunza Vitu Vingi ktk Hili Na Yawezekana Wewe Ni Flat Screen au Gari Ya Mkaa Hivyo Una Chuki Zako. Kipi Kibaya au Cha Kipuuzi Muanzisha Uzi Amekiandika Hapo? Na Bahati Nzuri Mno Mods Ni Watu Wenye Akili Na Upeo Na Hawajafuata Maelekezo Yako Na Uzi Wa Mshikaji Bado Unazidi Tu Kutiririka. Ningekushauri Tu Hebu Na Wewe Anzisha Uzi Wako Usio Wa Kipuuzi Nasi Tukupime! Mods Akhsanteni Kwa Kumpotezea Huyu POPOMA Na Muanzisha Uzi Ubarikiwe Kwani Najifunza Mengi Humu Na Ni Imani Yangu Hata Wengine Humu Tunajifunza Na Kujua Mengi. Wewe Wa Wapi? Umeniboa Mno Kwa Post Yako Wewe Ni Nani Kuwapangia Mods au Kuwaelekeza Watu Humu JF Nini Cha Kuandika?
 
Mkuu mwenzio hata chai bado!
Kwikwi kwi kwi,
Nawashangaa mnajadili kwa maneno matupu. Hata walimu wanashauriwa kutumia Teaching Aid ili wanafunzi waelewe vizuri.
 
Kwikwi kwi kwi,
Nawashangaa mnajadili kwa maneno matupu. Hata walimu wanashauriwa kutumia Teaching Aid ili wanafunzi waelewe vizuri.

Mkuu thumb up!
Mkuu unewatoa wape hawa!
Daah!
Hizi ni neemah hizi!
 
Mbona hujamalizia? Na wengi wao weupe kwa kujikoroga, utatofautisha vipi? Naona hilo la mkorogo na nywele za maiti ni uzalendo kwa sasa. Naam, kwa sasa hatuna tofauti ya makabila wala rangi wala utaifa.
 
Balaa hilo kichwa utavalisha helmet
 

Attachments

  • 1422253533810.jpg
    1422253533810.jpg
    72 KB · Views: 739
wengine ni asili yao kabisa hata mchina hawaijui. Labda mavazi maana zamani msichana anavyaa gunia shep ila kwa sasa vinguo vya kubana kuonyesha neema za bwana.
 
Back
Top Bottom