KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,771
- 39,538
kivipi??
Hata picha huoni...?...mkuu...
kivipi??
hata matumbo,unakuta mdada tumbo kubwaaaaaaaaaa!!kwaiyo izo vitu vinavimbisha makalio tu?
Yaaani me naona kuna haja ya kuweka sheria ya mavazi.
Tutagongwa na magari.
Hahahaaa mkuu siku hizi wanatumia lotion
Kuna hawa wanaovaa jarabibi laini. akyanani wamefungashia vibayaaaaa
Kuongezeka kwa makalio ya wadada kunaenda sambamba na kukua kwa soko la dawa za kunenepesha na kuongeza nguvu za kiume....hii inaonyesha kuwa watu wanayatumia sana hasa nyakati za usiku...
Kuna mmoja nilimtongoza kutokana na wowowo lake tulipofika nyamagana stadium akaenda kusaula chooni kurudi nastuka kumuona kawa kama betina Wa kenye gazeti la sani
hi ni kwasababu ya kuvaa mavazi ya kuwabana kwasababu zamani hizi nguo za nje wanazo vaa sasa hiv ndo zilikuwa za ndani
yaani samaki yule yule ila yupo kwenye sahani ndogo anaonekana mkubwa.
siku hz wanawake tunajiongeza mkuu c tumeshajua mnaya shobokea