KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,957
- 40,285
Tumechoka kusoma post za kipuuzi. Ningekuwa moderator ningekulamba ban ya maisha. Kama huna topiki ya maana, tulia kimya. Enough is enough.
Mkuu tukiwa kama wanadamu hatuna budi kuvumiliana...maana tumetofautiana vitu vingi...