Makahaba wasajiliwa rasmi Malawi

Makahaba wasajiliwa rasmi Malawi

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,933
rais_banda.jpg

Chama cha makahaba chasajiliwa rasmi

​
ZAIDI ya makahaba 2000 nchini Malawi wameungana kwa ajili ya kupinga manyanyaso wanayoyapata na kuboresha mazingira ya afya, baada ya kuzindua rasmi chama cha kuwatetea juzi.

Kundi hilo linaundwa na vyama visivyo vya kiserikali vya ndani na nje ya nchi hiyo, ikiwa ni la kwanza kutambuliwa rasmi na kupewa usajili katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika ambapo biashara ya ukahaba inaharamishwa.

“Muda wa kujadili kwa pamoja matatizo yanayowakabili ndio huu. Mnajua namna Polisi na Mahakama vinavyowabana na kwamba mnahitaji kupata huduma nzuri za kulinda afya zenu na afya ya uzazi bila kipingamizi,” alisema mwanasheria wa haki za binadamu, Chrispin Sibande alipokuwa akizungumza na kundi la wateja wake wapatao 50 ambao ni makahaba. Makahaba nchini humo mara nyingi wamekuwa wakikamatwa na Polisi hata kwa makosa madogo ikiwemo kukutwa wakiwa wamekaa bila kazi, ambayo pia huambatana na kutozwa faini.

Miaka mitatu iliyopita, makahaba 14 walikamatwa na Polisi na kulazimishw akupimwa Virusi vua Ukimwi (VVU) na wote kukutwa wakiwa wameathirika, ambapo walishtakiwa mahakamani kwa kufanya biashara ya ngono huku wakijua kuwa wana maradhi hayo ya kuambikiza, ambapo walichajiwa Dola7 kila mmoja na kuachiwa huru. Baadaye waliishtaki Serikali ya nchi hiyo kwa kuingilia mambo yao binafsi katika kesi ambayo hadi sasa bado inasubiri kusikilizwa katika mahakama kuu.

Wataalamu wa afya nchini humo wanasema maambukizi ya Ukimwi miongoni mwa makahaba hao yanafikia asilimia 70. Mawakili wao wanasema kuw awanatumiani umoja wao utawasaidia pia katika kuwaelimisha kuepuka maambukizi hayo.
 
Ukiwa na njaa uwezo wa kufikiri unapungua,hawa jamaa wamebanwa kila kona, na sasa wanaweza kufanya kila wanachoelezwa na wakoloni wao/wetu. Jirani akinyolewa ...........
 
rais_banda.jpg

Chama cha makahaba chasajiliwa rasmi

​
ZAIDI ya makahaba 2000 nchini Malawi wameungana kwa ajili ya kupinga manyanyaso wanayoyapata na kuboresha mazingira ya afya, baada ya kuzindua rasmi chama cha kuwatetea juzi.

Kundi hilo linaundwa na vyama visivyo vya kiserikali vya ndani na nje ya nchi hiyo, ikiwa ni la kwanza kutambuliwa rasmi na kupewa usajili katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika ambapo biashara ya ukahaba inaharamishwa.

"Muda wa kujadili kwa pamoja matatizo yanayowakabili ndio huu. Mnajua namna Polisi na Mahakama vinavyowabana na kwamba mnahitaji kupata huduma nzuri za kulinda afya zenu na afya ya uzazi bila kipingamizi," alisema mwanasheria wa haki za binadamu, Chrispin Sibande alipokuwa akizungumza na kundi la wateja wake wapatao 50 ambao ni makahaba. Makahaba nchini humo mara nyingi wamekuwa wakikamatwa na Polisi hata kwa makosa madogo ikiwemo kukutwa wakiwa wamekaa bila kazi, ambayo pia huambatana na kutozwa faini.

Miaka mitatu iliyopita, makahaba 14 walikamatwa na Polisi na kulazimishw akupimwa Virusi vua Ukimwi (VVU) na wote kukutwa wakiwa wameathirika, ambapo walishtakiwa mahakamani kwa kufanya biashara ya ngono huku wakijua kuwa wana maradhi hayo ya kuambikiza, ambapo walichajiwa Dola7 kila mmoja na kuachiwa huru. Baadaye waliishtaki Serikali ya nchi hiyo kwa kuingilia mambo yao binafsi katika kesi ambayo hadi sasa bado inasubiri kusikilizwa katika mahakama kuu.

Wataalamu wa afya nchini humo wanasema maambukizi ya Ukimwi miongoni mwa makahaba hao yanafikia asilimia 70. Mawakili wao wanasema kuw awanatumiani umoja wao utawasaidia pia katika kuwaelimisha kuepuka maambukizi hayo.

Unashangaa kusikia kuhalalishwa kwa biashara kongwe zaidi duniani?

huyo mama ameruhhusu ushoga kwake; unalipi la kusema katika hayo mawili (Ushoga na Umalaya)

Bazazi
 
naona na bongo tufanye hivyo...maana huwezi ukasema eti haifanyiki wakati tunajua watu wanamega malaya. tuache watu wale utamu kwa raha zao.
 
Unashangaa kusikia kuhalalishwa kwa biashara kongwe zaidi duniani?

huyo mama ameruhhusu ushoga kwake; unalipi la kusema katika hayo mawili (Ushoga na Umalaya)

Bazazi

Pamoja na ulegelege uliosababishwa na udhaifu wa JK wetu ni nafuu kuliko harufu ya huyu Joyce Banda, hatua hiyo amefika mbali kusiko na kinyume cha public act ya waafrika dhini ya mambo yasiyokubalika katika tamaduni zetu.
 
Huu uhuru wa watu kufanya wapendavyo utagharimu maisha ya wasio na hatia..!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom