Makahaba/Matapeli wa mapenzi SGR station Dodoma

Hahahaha hapa hakuna utapeli bwashee hasa kwa sisi walevi tunaelewa
jamaa story kaifunga funga sana ila ni alikuwa mtungi,mi weekend tu nimepoteza pia 300k kwa ulevi wa kifala kama huo
 
iyo tulishaga jaribu na jamaa yangu tukilewa tunajikuta tumeshatoka tupo bar
Hahaha mimi nilikua hivyo ila now nimezoea , hata huko bar sioni raha yake zaidi ya makelele
 
Je nimeshamla halafu akaniomba nimuazime pesa je nikimwambia sina atanifanyaje?
 
Ulimuachia ngoma?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…