Makabila yetu: Vijana na wanawake wa Kisukuma

Vijana wa Kisukuma ni wazuri sana sura + umbo. Yaani unamwangalia tu nakuridhika ... :)
 
Habari za kwamba hawajui kuacha wanawake ni uongo ulio uchi!

Tukichukulia wale wa asili (wafugaji/wakulima walioko vijijini), ni kweli coz mke ni katreka kamoja, akiongeza mwingine nguvu inaongezeka lkn lingine la muhimu watoto wanaongezeka, wakiume watachunga na kulima, wa kike wataongeza Mifugo kutokana na mahari!

So kuacha kwao, haipo na mara nyingi mke mkubwa anakuwa respected sana.
Sasa na hao wakimjini mjini, wanaoa kweli (Mke mkubwa anakuwa respected na taken care of; lkn mtaani anaweza akawa nao hata 3 akiwatunza vizuri na kila mtu akajiona yeye ni yeye tu!
 
Jamani acheni hizi stereotypes zisizo na kichwa wala miguu.

Hivi kweli mnataka kuniambia Wasukuma ndiyo wanaongoza kwa kuwa na nyumba ndogo? Kuna kabila kweli linaloongoza kwenye hayo mambo ya uzinzi na uzinifu?
 
Sijasema wanaongoza (coz inahitaji utafiti mkubwa), kama umeona, nimesema anaweza awe na SH hata 3. So he may have none as well. Na hiyo automatically haijasema wasukuma wote, ni wengi though!
 
Kumuona Kanumba basi unajidai unawajua wasukuma wote.

Mwanamme wa kisukuma hajibizani na mwanamke hata siku moja, wana knguvu mno kukaa wanahangaishana na wanawake.

Kafanye risechi yako upya.
kakuambia nani amefanya risechi mkuu, huyu mbona kajiandikia tu.
 
kumbeeee..... ngoja nitafute msukuma
ila aweze kuongea kiswahili vizuri

kiswahili msukuma! ngumu sana si unaona mtani wangu kanumba kaondoka duniani na kiswahili kile kile cha nyumbani,yupo msukuma mmoja tu TANZANIA anaeongea kiswahili fasaha huyu ni Mh.JOHN MAGALE SHIBUDA huyu huwezi jua kama ni msukuma unaweza dhani ni mtu wa Tanga au Zenj,Mtani wangu mungine mtoto wa DANDU COOL JAMES aliondoka pia hajui kiswahili fasaha kwa maana ya lafudhi licha ya kukulia ulaya bado lafudhi ilibaki ya kisukuma kama kanumba
 
Nyi wajnga kwel,kuna wasukuma wakal kshenz kushnda hata wengne,ila waxukuma kumuacha mwanamke ni vgumu sana labda demu amuache.
 
Ha ha ha, I hate you kwa kusema ukweli huu.

Yaani kiswahili ni tatizo la kitaifa sababu ya kutafsiri moja kwa moja sentesi kutoka kisukuma kwenda kiswahili.

Hata uchaguzi wa maneno haufai, ndo maana wasukuma wachache sana ni wanasiasa wazuri sababu hawapindishi maneno na hawajui kucheza na lugha, wako kikazi zaidi.

kiswahili msukuma! ngumu sana si unaona mtani wangu kanumba kaondoka duniani na kiswahili kile kile cha nyumbani,yupo msukuma mmoja tu TANZANIA anaeongea kiswahili fasaha huyu ni Mh.JOHN MAGALE SHIBUDA huyu huwezi jua kama ni msukuma unaweza dhani ni mtu wa Tanga au Zenj,Mtani wangu mungine mtoto wa DANDU COOL JAMES aliondoka pia hajui kiswahili fasaha kwa maana ya lafudhi licha ya kukulia ulaya bado lafudhi ilibaki ya kisukuma kama kanumba
 
kwa madawa hawa hawajambo wanayo mpaka ya kuongeza nyeti kuna siku pale makongorosi chunya msukuma kauza zake tumbaku kaja mjin makongorosi makahaba si wakawa wanamgombania akächukua mmoja alilia yule dada tumeenda kumchomoa kama mbwa vile wakinasana ilivyochomoka ilitoa mlio huo nkasema hawa watu hawajambo.
 
Back
Top Bottom