Makabila yetu: Vijana na wanawake wa Kisukuma

wewe na utafiti wako huo wa ki*****fa......****ra kaupeleke huko huko kwenu, nani alikudangaanya wasukuma tupo hivo...?? mbona unataka kuwasha moto usio na sababu humu jamvini....!!!
 
Si unaona walivyo giant?
Hawawezi sumbuka kugombana na mwanamke
Atakutizama unapiga kelele tu.

Hawasumbui wake zao
Na wachache sana wanaokuwa irresponsible.

Embu fafanua Konnie. . . .
Kama vipi nimpotezee yule wangu.
 
vibinti siku hizi vinajiamini kisa vinaweza vika ku...................diamond
 
www.majungu jungulika mwenyewe, usituletee hapa JF.com
Kwa mda mrefu nimekuwa nikiwatafakari kaka zangu wakisukuma, haswa walio kulia vijijini na sasa wapo mjini na pia mambo yao ni mazuri kwa kulingana na backgroung zao, kitu kimojaninachongundua wanashoboka sana na wadada haswa ambao wanaonyesha kuwa wa matawi ya juu au majina makubwa mjini ( sitaki kutolea mifano ya kaka zangu marehemu wa kisukumawaliokuwa na majina na wamefia kwa sababu ya wanawake)

Anaweza kuwa anajua tabia mbaya za mdada lkn yupo tu, ilimradi inampa sifa mbele ya wenzake kuwa na huyo mdada, itakama kwenye hayo mahusiano hayampi furaha ila sifa

Na mbaya zaidi wanaishia kuoana au kusogezana ndani... matokeo yake wanakuwa ni wanyoge sana kwenye ndoa maana wao ni wavumilivu na hawaachi bali wanaachwa.

Mara nyingi kitu ambacho huwa najiambia ni kwamba the wife has given him a favour to be with her.
 
Utafiti wako feki bageshi, usi3anye tukutafute
 
Si unaona walivyo giant?
Hawawezi sumbuka kugombana na mwanamke
Atakutizama unapiga kelele tu.

Hawasumbui wake zao
Na wachache sana wanaokuwa irresponsible.

Kwahiyo kumbe ni hawasumbuki kugombana nao, nilidhani ni hawasumbuki nao. . .wanakimbilia kwingine.

Ila huyu nampotezea. . .nitafutie mwingine basi. . ?
 
kwa nini??
Umeogopa tindikali??

Kwahiyo kumbe ni hawasumbuki kugombana nao, nilidhani ni hawasumbuki nao. . .wanakimbilia kwingine.

Ila huyu nampotezea. . .nitafutie mwingine basi. . ?
 
Hakuna tindikali hapa, watajibeba kama hawawezi kujua na kusema watakacho.

Mie si ndo wifi, they will have to deal with me first.

Na braza ndo kafika tena lol, unga ltd tutapika na ugali.
Hahahahahaha. . .we unataka nisubiri mpaka resepsheni iharibiwe?
 
............unatoka kiulaiiini unaenda kuvuta chuma kingine, bila kuleta mgogoro na mwanamke mwenye ngega aka pagu

mkewe: najua una mwanamke huko mjini?
msukuma anajibu kwa unyonge "hapa mjini sina mwanamke lakini huko kwingine mawilayani niseme tu ukweli mimi bwana ni mwanaume"

... hahahahaa am proud to be ngosha
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Back
Top Bottom