Francis Jr
Senior Member
- Oct 18, 2010
- 146
- 21
Habari za leo wapendwa. Mwenzenu natafuta mchumba ili nioe ila nataka kujua Tabia za wanawake wa KISUKUMA.
Mimi mwenyewe ni mzaramo wa Chamazi
Mimi mwenyewe ni mzaramo wa Chamazi
Habari za leo wapendwa. Mwenzenu natafuta mchumba ili nioe ila nataka kujua Tabia za wanawake wa KISUKUMA.
Mimi mwenyewe ni mzaramo wa Chamazi
habari za leo wapendwa. Mwenzenu natafuta mchumba ili nioe ila nataka kujua tabia za wanawake wa kisukuma.
Mimi mwenyewe ni mzaramo wa chamazi
Mimi hapa Msukuma orijinale, lakini huko Uzaramoni Mmmh... Hao mawifi wasije nikondesha kwa maneno...!
Usijali Kaka, mambo ya ukabila yameshapitwa na wakati bana... Unaweza ukapata Msukuma wa Mjini mwenye tabia za Kizaramo mwanzo mwisho... Utafanyaje??
Kabila si kitu we angalia tabia ya mtu
Ngoja ni kamlete Bishanga
Bishanga ni bwenga. Awe Msukuma atambe..?
Sina uhakika sana on-bed.