Makabila Yetu na Urembo

Hata siku moja sikuwahi kuona wala kusikia housegirl anatokea Tabora, Mwanza, au Shinyanga. Kwanza huko ni mbali sana na Dar. Sijui hata wangefikaje Dar....

Halafu mbona unawatetea sana Wanyalu? Na wewe ulikuwaga "Niangusage" nini? Lol
hausigeli aweza kutoka kokote maana hawahitajiki Dar peke yake.Wa Tabora, Mwanza au Shinyanga aweza fanya kazi Bukoba, Kigoma au huko huko mkoani kwake.
 
Mngazija analoga na mnyalu anapenda kikweli aisee yaani for better and for worse....ukitaka perfect wifey wee kaoe uheheni...really talk.
Ukiwa kama mwakilishi wa Unyaluland... hako kaavatar kako kananionyesha jinsi gani wanawake wa Unyalu wasivyojiamini... Nitabakia kwa Mngazija wangu tu...
 
hausigeli aweza kutoka kokote maana hawahitajiki Dar peke yake.Wa Tabora, Mwanza au Shinyanga aweza fanya kazi Bukoba, Kigoma au huko huko mkoani kwake.
Hausigeli ni kutoka Unyalu tu.... siku hizi hadi kule Zenj wapo hawaogopi tena kupanda boti
 
That is grossy!...For the record Dada Joyce doesnt take any bullshit she is such a strong woman,wee ueajiriwa kufanya kazi na siyo kutongoza au kuleta lelemama piga mzigo matokeo utayapata mwisho wa mwezi...tatizo mmeshazoea wale wanawake wanaosema yes sir (maharagwe ya Mbeya).Wanawake wa Kinyalu ni very beautiful,strong and very smart.

Na wanaosema niangusage sambi ni sako mwenyewe ni kina nani? Seem they are lose kiasi kwamba hata HIV prevalence inaongoza Tz mikoa yote nafikiri
 
suala la zinaa limeenea kila mahali siku hizi, sijui umepita mikoa mingapi, na unaongeleaje dar na ufuska? hata hizo takwimu za watu wa ukimwi huwa zina mashaka sana sijui wana kusanya vipi data! au wanaover estimate ili wapate misaada
 
Sasa mwanjelwa hutaki?..unadhani utafananisha mademu wa Kinyalu na wale wa Pale Mwanjelwa sokoni au kule soko Matola? ......wee sema ukweli wako... really talk!

mnawakandia bure madada wa wenzenu na kuwasifia wenu bure pia. mademu wote sawa laini ile. zali lako tu.

wanasema mademu wa kinyalu ni kama kusukuma mlevi lakini mi nimefuata wengi tu na nimekosa. wambeya vilevile sina zali nao. wakat huohuo wa sehemu zingine na wadaka kama kawa. sa hapo nisemeje? nina gundu na laini ile au vp?
 
Mkuu, nyakati mbaya hizi, haifai kuendekeza libeneke
 
Originally Posted by Mzuzu Na wanaosema niangusage sambi ni sako mwenyewe ni kina nani? Seem they are lose kiasi kwamba hata HIV prevalence inaongoza Tz mikoa yote nafikiri[/QUOTE said:
suala la zinaa limeenea kila mahali siku hizi, sijui umepita mikoa mingapi, na unaongeleaje dar na ufuska? hata hizo takwimu za watu wa ukimwi huwa zina mashaka sana sijui wana kusanya vipi data! au wanaover estimate ili wapate misaada

kwakuongezea ni la kimazingira zaidi (Geograpahical or social interaction), ukichunguza zaidi utaona, Uganda ndio ilikuwa ya kwanza east africa, ukaingia tz kupitia kwa majirani wa UG, BK, iringa, chalinze na ameneo mengine kama hayo yako kwenye route ya tz and other interlocked countries tafakari utajua ni kwanini. dar wanakufa wengi tu sema hawajuani wengine wakiumwa wanapelekwa vijijini kwao, WEWE ENDELEZA LIBENENKE HAPO ULIPO KWA KUDHANI IRINGA NDIO SOO, TUTAKUSIKIA.
 
Nadhani ni ukweli kwamba mabinti wengi wa kinyalu wamekuwa wakitumika mijini (hususani Dar) kama mayaya (house girls). Mabinti hawa wamekuwa wakidhalilishwa sana na waajiri wao ikiwemo kuambukizwa HIV. Wanaporudi nyumbani kwao (nyaluland) nao bila kujua pia huambukiza wengine. Wanaume wa vijijini (sio nyaluland pekee!) hupapatikia sana mabinti waliotoka mjini (ukizingatia wanakuwa 'wametakata').
 
Kuna watu wanachezea maisha yao kwa kufikiri kwamba kutembea na wanawake wengi ni sifa au kuwa na wanaume wengi ndiyo market yako inaikuwa juu.

For sure tubadilike sasa tuko kwenye dangerzone, ukicheza unaukwaa na masifa yako.
 
Kila mchezo una rules (sheria) zake na ukizifuata vema daima utashinda. Ukicheza unavyotaka wewe una-lose.Usiogope kucheza mchezo ambao, hata hivyo, lazima uuche. Fuata kanuni kwa makini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom