Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,457
- 4,499
- Thread starter
- #81
Wasukuma ndo tunapaswa kuwa kwenye hiyo list..
Ni kabila lenye watu wengi na waliotapakaa duniani kote
Wingi sio hoja kijana..mjipange sawa sawa mzaliane kwa mpango.
Wasukuma ndo tunapaswa kuwa kwenye hiyo list..
Ni kabila lenye watu wengi na waliotapakaa duniani kote
Nisinywe pombe nisilewe?
Sisi watani watani tupo mbali kule Pare hills/ Shengena Hills. sio maarufu sanaMbona haujawapeperusha na Wapare.?
Watapokea🙏Wasalimie hapo Rau Madukani 😀
Sisi watani watani tupo mbali kule Pare hills/ Shengena Hills. sio maarufu sana
Logical non sequitur fallacy.Hakatazwi kwani ubaya upo wapi ila tuta challenge kama ni uhalisia
Acha wivu mzee toka huko ng'ambo njoo wasaidie ndugu zako kule umasikini unazidi kuwamaliza.
Logical non sequitur fallacy.
List yako ni uharo mtupu.
Reality yako ni uharo tu. Takataka.Nothing you can change sir. That is reality and instead of rationalising you better go to help you community to excel.
Reality yako ni uharo tu. Takataka.
Umetuletea ki list cha kuungaunga kwa graphics za AI ambacho hakina basis.
Reality yako ni uharo tu. Takataka.
Umetuletea ki list cha kuungaunga kwa graphics za AI ambacho hakina basis.
Ni ujinga wa status anxiety tu.
But I do not expect you to know that.
olaijoartsworld.wordpress.com
Hizo graphics ni za AI na list hata kama ya lini haimaanishi si ya kuungaunga.Cha kutunga kwa sababu husomi ndio mana hii list ina zaidi ya miaka 8 kabla ya hiyo AI yako sio kila kitu ni AI, you sick man.
Hizo graphics ni za AI na list hata kama ya lini haimaanishi si ya kuungaunga.
Nilikuuliza hii list ina authority gani, umeshindwa kujibu.
Kwa sababu ni uharo tu, umeungaunga uharisho tu.
Uhuru wa mawazo haumaanishi ujitungie story yako ya kuungaunga utuletee hapa.Authority ya nini? Mimi na amini katika uhuru wa mawazo na fikra sio Authority.
Tatizo umeathiriwa na mabeberu na akili zako ziko programed. Wewe ulitakiwa uje ni view yako sio issue ya Authority
Uhuru wa mawazo haumaanishi ujitungie story yako ya kuungaunga utuletee hapa.
Weka data zenye authenticity tuzichambue.
Uhuru wa mawazo wa stories za kujitungia tu ndio uharo ninaousema huo.
Sijaanzisha mada hii. Wala sina nia ya kuleta habari za ukabila hapa.Leta ya kwako inayopingana na hiyo.
zaidi ya hapo tulia huna hoja unaleta ubabaishaji.