Makabila Maarufu Afrika

Makabila Maarufu Afrika

Mzee wangu mmoja wa kichagga aliniambia wakamba na wachagga Ni walewale kabila moja tu.

Wakati wanaotokea huko Ethiopia miaka mingi walishukia Kenya wengine wakabaki huko ndio hao Wakamba na Wataita ila wale original ndio waliokuja mpaka kwenye slope ya mlima Kilimanjaro ndio maana Lugha zao kwa mbali zinafanania.
 
😅😅 , na wakinga pia wanajitahidi mno

Tatizo wanaishia Kariakoo wajitahidi wavuke boda kwa wingi pia.

Ila sijui kama wana culture ambayo ina identity na ipo highlited kama Wachagga. Hii ni muhimu sana kwa utambulisho.
Mfano Wachagga kwenda Moshi kila Desemba sio kitu kidogo kaka.
 
Ukiachana na Wamasai ambao wapo Kenya na Tanzania.

Wachagga ndio Kabila pekee ambalo lipo Tanzania tu lilotokea kwenye hii list.

Cha kushangaza Wachagga sio wanaongoza kwa idadi ya watu hapa Tanzania kama ilivyo kwa nchi nyingine nyingi ambazo makabila yaliyotokea ndio yanaongoza kwa wingi wa watu kwenye nchi zao mfano kwa Wakikuyu.

Sababu ni nini Wakuu?

Kumbe ni kweli wahenga walivyosema wingi sio hoja.
Acha mambo ya ukabila ktk karne hii, kwanza hueleweki umeandika nini. Mtu mweusi ni km nyani bado, karne ya 21 unaongelea ukabila? Hopeless kabisa! Wachaga sijui mnawashwagwa na nini, ktk makabila zaidi ya 120 kwanini ni ninyi tu mnahangaika humu mitandaoni? Mbaya zaidi ndiyo kabila limetokea maeneo ya kimaskini sana, ni inferiority inawasumbua? Hebu tulieni mjiamini
 
Huu uzi ni wa ubaguzi wa kikabila.

Wa kusema "Wachagga si wengi sana lakini mambo yao makubwa"

Huelewi wapi?

Ubaguzi hapo upo wapi mkuu. Si uhalisia wenyewe kuna kabila lingine nililolitaja ambalo halipo kwenye list.
 
Acha mambo ya ukabila ktk karne hii, kwanza hueleweki umeandika nini. Mtu mweusi ni km nyani bado, karne ya 21 unaongelea ukabila? Hopeless kabisa! Wachaga sijui mnawashwagwa na nini, ktk makabila zaidi ya 120 kwanini ni ninyi tu mnahangaika humu mitandaoni? Mbaya zaidi ndiyo kabila limetokea maeneo ya kimaskini sana, ni inferiority inawasumbua? Hebu tulieni mjiamini

Sasa kama tuna inferiority why utu attach je hao walioandaa hiyo list ni wakabila sio. Huwezi kufuta asili yako
na kama wewe hujivunii asili yako ni wewe

Kwanza ni kujulishe tuu kwamba Tanzania kuna ukabila na ndio maana mtu akitaka kugombea anaenda kugombea kwao unafikiria ni nini kama sio anataka abebwe kikabila.
 
Hakuna haja ya authority kwenye mtu kutoa mawazo yake kama hiyo list sio realistic ipinge kwa hoja au uje ni list yako.
Ukishasema hivyo maana yake mkabila yeyote anaweza kuweka list yake akataka kupaisha kabila lake tu.

Kwa maneno mengine, hiyo list yako uharo tu.
 
Ukishasema hivyo maana yake mkabila yeyote anaweza kuweka list yake akataka kupaisha kabila lake tu.

Kwa maneno mengine, hiyo list yako uharo tu.

Hakatazwi kwani ubaya upo wapi ila tuta challenge kama ni uhalisia

Acha wivu mzee toka huko ng'ambo njoo wasaidie ndugu zako kule umasikini unazidi kuwamaliza.
 
Back
Top Bottom