min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,677
- 169,128
Angalia top tena ya makabila yaliyoendelea afrika utaonaNi mtazamo wangu tu Bwashee
Angalia top tena ya makabila yaliyoendelea afrika utaonaNi mtazamo wangu tu Bwashee
Ila wakikuyu ni hatari mno😅Kabisa kaka yaani ni ndugu hawa nenda kule Anambra, Kiambuu na Moshi kuna mahekalu na maendeleo ambayo hayapo kwenye majini.
Wamesambaa dunia nzima na ni wazuri kwa biashara sana.
Kuna mwanangu mpopo,Igbo kikuyu na chagga ni makabila yenye mahusiano makubwa ya ki genetics
Kama wa-hili kabilaView attachment 3666714 hawamo, basi uzi ufutwe....😜
Kama wa-hili kabilaView attachment 3666714 hawamo, basi uzi ufutwe....😜
Hii ni vita bwashee 😄 acha niongeze biaKuna mwanangu mpopo,
Huwa anasema upo uwezekano Eti miaka mia saba iliyopita Babu yake/yao alipita huku klm akaacha mbegu 😂😂😂
Si unajua na wale jamaa kwa kujipakulia minyama ,
Alipenda our industriousness, Business accumen, Resilience etc
Fita ni fita mura ,Hii ni vita bwashee 😄 acha niongeze bia
Ila wakikuyu ni hatari mno😅
Endelea kua mwaminifu , kesho kutwa tutakuchagua ukafanye upadrisho parokia ya mtakatifu sesiliaWachaga wote wakuda,wezi na wabinafsi
Wachaga wote wakuda,wezi na wabinafsi
😅😅 , na wakinga pia wanajitahidi mnoWakikuyu ni hatari ila Igbo ni balaa zaidi mkuu wale ni level nyingine 🤣
Mnapanda basi la ukabila? - J.K Nyerere.Ukiachana na Wamasai ambao wapo Kenya na Tanzania.
Wachagga ndio Kabila pekee ambalo lipo Tanzania tu lilotokea kwenye hii list.
Cha kushangaza Wachagga sio wanaongoza kwa idadi ya watu hapa Tanzania kama ilivyo kwa nchi nyingine nyingi ambazo makabila yaliyotokea ndio yanaongoza kwa wingi wa watu kwenye nchi zao mfano kwa Wakikuyu.
Sababu ni nini Wakuu?
Kumbe ni kweli wahenga walivyosema wingi sio hoja.
Kilimanjaro ,Morogoro arusha , daslamu , manyara , na tangaWachagga wanapatikana mkoa gani?
Well said mkuu.Hapo mnastahili kuongezwa kwenye list mkuu 😀
Kwanini ni hatari?Ila wakikuyu ni hatari mno😅
Ongeza Wachina. Huko Ghana 🇬🇭 Mchina katawazwa kuwa Chief wa kabila
Mzee wangu mmoja wa kichagga aliniambia wakamba na wachagga Ni walewale kabila moja tu.Igbo kikuyu na chagga ni makabila yenye mahusiano makubwa ya ki genetics
Mlima Kilimanjaro ndo umewapeperusha