mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Wana JF,
Naanza kwa kuwapa pole wale wote waliotoa pesa zao kwa mbinde kwenda kununua simu original kwenye maduka yanayoaminika na pengine kwenda kwenye maduka ya wanaomiliki mitandao kama Halotel , Vodashop Airtel na Tigo, macho yaliwaonyesha kilicho bora wakanunua lakini baadae wanajikuta wakikosa mawasiliano baada ya ghafla simu zao kuonyesha no network, sim cannot register , network error, searching.
Haya matatizo mengi yamewakuta watu wanaotumia simu zenye line mbili, haijajulikana ni kwa nini simu ghafla inaandika S/No. 123456789ABCDEF na baadaye kukata network, uchunguzi wa awali unaonekana kuwa kwa kuwa simu zenye line mbili haziwezi kuregister kwenye network kwa kutumia S/No. moja ambayo ni utambulisho wa toleo la simu kama handset product Number, ambayo husomwa kwa bar-code kwa maandishi kama haya IIIIIII IIIIIIII I IIIIII ambayo ubandikwa nyuma ya simu, lakini hii Serio Number ukiisoma kwa ndani iko tofauti kabisa, simu hizi uonekana kama za kimangumashi ingawa kwa tanzania wanaziingiza kama original phone, simu zenye lini mbili nchi nyingi kama Uingeleza, Marekani Japani hawazitumii kabisa ingwaje wanaziuza madukni kwa wanaoenda kuzitumia katika nchi za Africa na Asia .
Nina hofu kwamba kuna wakati TCRA itapiga marufuku simu zenye line mbili kwa kuwa haiwezekani simu moja ikawa na MSID moja, Baseband Moja alafu imei mbili, kam TCRA wamejipambanua kwamba wapo ktika mapambano ya kupunguza uharifu wanatakiwa kuwaamrisha wenye makampuni ya simu zinazotumia line mbili waakikishe zinawekwa S/No Mbili kwa kila line.