Majuto TCRA Kufungia Simu Original zenye S/No. 123456789ABCDEF

21d48bdb9b90088efc463ce125f0e4f6.jpg


Ati hii nayo itafungwa tena? Ndio nina week moja na hii tu jamani
 
Nimekusoma vizuri, ili simu iweze kufanya kazi inahitaji vitu vingi ili iweze kuregister katika Network ya SP ni lazima iwe na number ya utambulisho wa toleo(S/N, Model Name (mfano samsung) Product Code, Manufacture id, aina ya Band (900/1800/1900) ambapo kuna dual band , Tri-band na Quardband ndipo uweza kuwa hewani, Serial number kazi yake ni utambulisho wa chesis ya simu, iliyobeba kila kitu. Hivyo basi kama utambulisho wa chesis no. na baseband zikawa Null, Invalid simu hiyo haiwezi kufanya kazi, kwani imekiuka mikataba ya FCC, usiwadanganye watu kuwa Haina maana kwani wakati ukiwa umefanya kosa wakati wa kukutrack angalia wenzetu walio na iphone mfano.
IMEI: 013048001704356
Original Serial: DNQH4MVFDTC0
Network: Global
Activated: Yes
Contract Status: Unknown
AppleCare Protection: No
Telephone Technical Support: Expired
Repairs & Service Coverage: Expired
Purchase Country: UK
Purchase Date: February 23, 2012
Sold To: ORANGE PERSONAL COMMUNICATIONS
Carrier: 302 - UK TMobile Orange.
Factory Simlock: Locked
Carrier Last Update: 2015-04-09 20:35:44
Find My iPhone: OFF
SIM Lock: Locked
Ukichukua serial Number ukaiseach inakuletea taarifa zote za simu na mtumiaji alipo, hivyo basi ili kuweka kumbu kumbu mzuri, haiwezekani mtu unaambiwa saa fulani yupo number flani yenye serial no. fulani wakati una line mbili tofauti na umelink line mbili kwa serial number moja, kwa sababu zina option ya ku-off, au ikiwa imei moja imecorrupt na una mpango wa karibu kuitengeneza unawafanya washinde kukutrack, lengo linakuwa halijatimia.

Ivi hakuna namna kufanya MTU asiweze kuitraki simu yako hakajua ulipo,,au unafanyaje ili kuitraki simu yako ikiibiwa au kupotea, wife wangu kaibiwa simu yake TechnoJ8 amehamua kwenda tigo waifunge isifanye kazi kabisa
 
Simple logic simu ikapotea unatoa taharifa, kwenye database ya simu husika kama lg watajua imei number flani ni ya simu ipi na serial number, IMEI itafungwa ili isipokee tena network, ikitokea wakaibadilisha imei itakuwa hewani na itapata network, lakini serial itabaki kama ushahidi kwamba kama imei number inapaswa kuwa na serial number nyuma ya battery ikitofautiana basi itajulikana umefanya udanganyifu hitimisho imei for network register,
 
Lakini nikirestore kuna muda inaleta maandishi kwa kizungu kuwa kuwa kuna laini imeingia halafua inanipa uchaguzi ama niskip au nipige OK, lakini baadae inapiga X tu kama Morogoro road laini zote.
 
Kuna jamaa yangu kaletewa Huawei mpya kabisa kutoka ughaibuni imegoma kabisa hata kusoma laini. Tumejaribu kurestore lakini wapi. Nadhani na yenyewe imepitiwa na hiki kimbunga cha TCRA.
Nadhani inaweza isiwe tatizo la kufungia simu la TCRA. Siku hizi kuna kitu kinaitwa "regional lock" ambapo unatakiwa ukinunua simu uitumie kwa kuweka simcard ya eneo hilo(nchi) kwa kama dakika 5 hivi (kupiga simu au kupokea au hata kutumia internet-data). Baada ya hapo itakuwa imefunguka na unaweza kuitumia sehemu nyingine au region nyingine. Huu natolea mfano wa EU-european union countries.
Wanasema usipofanya hivo haitafanya kazi kama simcard ya kwanza kuwekwa itakuwa ya sehemu tofauti na ulipoinunua.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom