Majuto TCRA Kufungia Simu Original zenye S/No. 123456789ABCDEF

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana JF,

Naanza kwa kuwapa pole wale wote waliotoa pesa zao kwa mbinde kwenda kununua simu original kwenye maduka yanayoaminika na pengine kwenda kwenye maduka ya wanaomiliki mitandao kama Halotel , Vodashop Airtel na Tigo, macho yaliwaonyesha kilicho bora wakanunua lakini baadae wanajikuta wakikosa mawasiliano baada ya ghafla simu zao kuonyesha no network, sim cannot register , network error, searching.

Haya matatizo mengi yamewakuta watu wanaotumia simu zenye line mbili, haijajulikana ni kwa nini simu ghafla inaandika S/No. 123456789ABCDEF na baadaye kukata network, uchunguzi wa awali unaonekana kuwa kwa kuwa simu zenye line mbili haziwezi kuregister kwenye network kwa kutumia S/No. moja ambayo ni utambulisho wa toleo la simu kama handset product Number, ambayo husomwa kwa bar-code kwa maandishi kama haya IIIIIII IIIIIIII I IIIIII ambayo ubandikwa nyuma ya simu, lakini hii Serio Number ukiisoma kwa ndani iko tofauti kabisa, simu hizi uonekana kama za kimangumashi ingawa kwa tanzania wanaziingiza kama original phone, simu zenye lini mbili nchi nyingi kama Uingeleza, Marekani Japani hawazitumii kabisa ingwaje wanaziuza madukni kwa wanaoenda kuzitumia katika nchi za Africa na Asia .

Nina hofu kwamba kuna wakati TCRA itapiga marufuku simu zenye line mbili kwa kuwa haiwezekani simu moja ikawa na MSID moja, Baseband Moja alafu imei mbili, kam TCRA wamejipambanua kwamba wapo ktika mapambano ya kupunguza uharifu wanatakiwa kuwaamrisha wenye makampuni ya simu zinazotumia line mbili waakikishe zinawekwa S/No Mbili kwa kila line.
 
Wana JF,

Naanza kwa kuwapa pole wale wote waliotoa pesa zao kwa mbinde kwenda kununua simu original kwenye maduka yanayoaminika na pengine kwenda kwenye maduka ya wanaomiliki mitandao kama Halotel , Vodashop Airtel na Tigo, macho yaliwaonyesha kilicho bora wakanunua lakini baadae wanajikuta wakikosa mawasiliano baada ya ghafla simu zao kuonyesha no network, sim cannot register , network error, searching. haya matatizo mengi yamewakuta watu wanaotumia simu zenye line mbili, haijajulikana ni kwa nini simu ghafla inaandika S/No. 123456789ABCDEF na baadaye kukata network, uchunguzi wa awali unaonekana kuwa kwa kuwa simu zenye line mbili haziwezi kuregister kwenye network kwa kutumia S/No. moja ambayo ni utambulisho wa toleo la simu kama handset product Number, ambayo husomwa kwa bar-code kwa maandishi kama haya IIIIIII IIIIIIII I IIIIII ambayo ubandikwa nyuma ya simu, lakini hii Serio Number ukiisoma kwa ndani iko tofauti kabisa, simu hizi uonekana kama za kimangumashi ingawa kwa tanzania wanaziingiza kama original phone, simu zenye lini mbili nchi nyingi kama Uingeleza, Marekani Japani hawazitumii kabisa ingwaje wanaziuza madukni kwa wanaoenda kuzitumia katika nchi za Africa na Asia . Nina hofu kwamba kuna wakati TCRA itapiga marufuku simu zenye line mbili kwa kuwa haiwezekani simu moja ikawa na MSID moja, Baseband Moja alafu imei mbili, kam TCRA wamejipambanua kwamba wapo ktika mapambano ya kupunguza uharifu wanatakiwa kuwaamrisha wenye makampuni ya simu zinazotumia line mbili waakikishe zinawekwa S/No Mbili kwa kila line.
Umenena sana mkuu.. Point zako zipo waz waz na zinaonekana kabsaaa...
 
Umenena sana mkuu.. Point zako zipo waz waz na zinaonekana kabsaaa...
Vizuri mkuu ila wengi hawatakuelewa maana haya mambo ya kitaalam watanzania wengi hawa hawajishughulishi na hawapendi kujua maana wanaona hayawahusu. Watu wanafahamu kuchati tu wakati wa kutongoza tu.
 
Kuna jamaa yangu kaletewa Huawei mpya kabisa kutoka ughaibuni imegoma kabisa hata kusoma laini. Tumejaribu kurestore lakini wapi. Nadhani na yenyewe imepitiwa na hiki kimbunga cha TCRA.
 
Mkuu ukitaka kuliwazia hili litakuumiza hawa watu walikurupuka kuzima simu mimi simu yangu ni Note 4 line moja ni zaidi ya Original waliizima nikawafata majibu waliyonipa ni kituko.eti ni makosa ya kibinadamu na kwa nini nilituma imei no Tcra kwa simu km ile wkt ni original nikaona utoto nikaondoka nikaenda kufanya yangu Agrey ndio inapiga mzigo hadi sasa hivi
 
Kuna jamaa yangu kaletewa Huawei mpya kabisa kutoka ughaibuni imegoma kabisa hata kusoma laini. Tumejaribu kurestore lakini wapi. Nadhani na yenyewe imepitiwa na hiki kimbunga cha TCRA.
Nenda kwenye about phone check serial number kama inaanza na 1245abcdf hiyo tcra wameilamba
 
Mbona yangu ilikuwa ni Samsung Galaxy ya laini moja lakini iliweka alama × kwenye mnara?
 
[QUOTE="Fundi chupi, post: 16813277, member: 374338"and ona yangu ilikuwa ni Samsung Galaxy ya laini moja lakini iliweka alama × kwenye mnara?[/QUOTE]
Ilikufa qcn na kama ungeliangalia kabla ungekuta 123abc
 
[QUOTE="Fundi chupi, post: 16813277, member: 374338"and ona yangu ilikuwa ni Samsung Galaxy ya laini moja lakini iliweka alama × kwenye mnara?
Ilikufa qcn na kama ungeliangalia kabla ungekuta 123abc[/QUOTE]
Niliiacha tu huko ndani nikahamia kwa tecno kutoka Samsung
 
Yangu inaanza na 0123456789AB... ILA sijaona Shida yoyote mpka sasa hiv
upload_2016-7-11_12-54-1.png
 
Kwa mantiki hiyo kila simu yenye laini mbili ni feki?

Hata mimi simuelewi anachanganya watu - serial number za manufactures za kazi gani - kinacho zungumzwa hapa ni IMEI zilizomo kwenye firmware ya handset kwa ajili ya ku identify simu, hii this has got nothing to do na serial number - ni kwamba kila kampuni inayo julikana inahunda simu inapewa a unique code ya kutambulisha muhundaji wa simu, yeye ana append namba fulani mwishoni lakini bytes za mwanzo wanapewa na consortium fulani ITU nafikiri, na hii inafanyika hata kwenye computers zetu Desk top, laptop na notebook hizo zote network ineterface card (NIC) ndiyo inaitambulisha computer kwenye network/mtandao kampuni zinazo manufacture card upewa a unique code za kuzitambulisha na hiki ndicho kinaendelea katika wahundaji wa simu za mikononi - vitu hivi vinafuata the same principles.

Sasa tuje kwenye dhana kwamba ukiwa na simu yenye line mbili utapata tatizo - hii si kweli! Mbona ukituma request TCRA kujua IMEI ya simu yako jibu linakuja ambalo ni sahihi kabisa - kama una simu ya line mbili inakupa IMEI numbers zote mbili - sasa hapo tatizo liko wapi, unless sikuelewa ulicho maanisha.
 
Back
Top Bottom