Majuto TCRA Kufungia Simu Original zenye S/No. 123456789ABCDEF

Uliwatumiaje IMEI?

Au ni kipindi kile walichosema watu wahakiki kwa kutuma ujumbe kwenda namba fulani ndiyo wakazikusanya?
Yah ndio kipindi kile kuna mtu alitaka kujaribu na yangu basi nikampa akatuma mkuu
 
sheria zimewekwa ili zivunjwe.... yaani unaogopa kufungwa huku unatembea na kicheche kavu kavu....

kila kitu ni risk duniani

wewe unatafuta kufungwa , hairusiwi ku-edit IMEI ila kwa walio na original unaruhusiwa ku-rebuild corrupted IMEI na S/No. tu.
 
Wana JF,

Naanza kwa kuwapa pole wale wote waliotoa pesa zao kwa mbinde kwenda kununua simu original kwenye maduka yanayoaminika na pengine kwenda kwenye maduka ya wanaomiliki mitandao kama Halotel , Vodashop Airtel na Tigo, macho yaliwaonyesha kilicho bora wakanunua lakini baadae wanajikuta wakikosa mawasiliano baada ya ghafla simu zao kuonyesha no network, sim cannot register , network error, searching. haya matatizo mengi yamewakuta watu wanaotumia simu zenye line mbili, haijajulikana ni kwa nini simu ghafla inaandika S/No. 123456789ABCDEF na baadaye kukata network, uchunguzi wa awali unaonekana kuwa kwa kuwa simu zenye line mbili haziwezi kuregister kwenye network kwa kutumia S/No. moja ambayo ni utambulisho wa toleo la simu kama handset product Number, ambayo husomwa kwa bar-code kwa maandishi kama haya IIIIIII IIIIIIII I IIIIII ambayo ubandikwa nyuma ya simu, lakini hii Serio Number ukiisoma kwa ndani iko tofauti kabisa, simu hizi uonekana kama za kimangumashi ingawa kwa tanzania wanaziingiza kama original phone, simu zenye lini mbili nchi nyingi kama Uingeleza, Marekani Japani hawazitumii kabisa ingwaje wanaziuza madukni kwa wanaoenda kuzitumia katika nchi za Africa na Asia . Nina hofu kwamba kuna wakati TCRA itapiga marufuku simu zenye line mbili kwa kuwa haiwezekani simu moja ikawa na MSID moja, Baseband Moja alafu imei mbili, kam TCRA wamejipambanua kwamba wapo ktika mapambano ya kupunguza uharifu wanatakiwa kuwaamrisha wenye makampuni ya simu zinazotumia line mbili waakikishe zinawekwa S/No Mbili kwa kila line.
Mimi ninayo yenye line mbili lkn imei namba zipo mbili pia hapa ipoje?
 
Hata mimi simuelewi anachanganya watu - serial number za manufactures za kazi gani - kinacho zungumzwa hapa ni IMEI zilizomo kwenye firmware ya handset kwa ajili ya ku identify simu, hii this has got nothing to do na serial number - ni kwamba kila kampuni inayo julikana inahunda simu inapewa a unique code ya kutambulisha muhundaji wa simu, yeye ana append namba fulani mwishoni lakini bytes za mwanzo wanapewa na consortium fulani ITU nafikiri, na hii inafanyika hata kwenye computers zetu Desk top, laptop na notebook hizo zote network ineterface card (NIC) ndiyo inaitambulisha computer kwenye network/mtandao kampuni zinazo manufacture card upewa a unique code za kuzitambulisha na hiki ndicho kinaendelea katika wahundaji wa simu za mikononi - vitu hivi vinafuata the same principles.

Sasa tuje kwenye dhana kwamba ukiwa na simu yenye line mbili utapata tatizo - hii si kweli! Mbona ukituma request TCRA kujua IMEI ya simu yako jibu linakuja ambalo ni sahihi kabisa - kama una simu ya line mbili inakupa IMEI numbers zote mbili - sasa hapo tatizo liko wapi, unless sikuelewa ulicho maanisha.
Nimekusoma vizuri, ili simu iweze kufanya kazi inahitaji vitu vingi ili iweze kuregister katika Network ya SP ni lazima iwe na number ya utambulisho wa toleo(S/N, Model Name (mfano samsung) Product Code, Manufacture id, aina ya Band (900/1800/1900) ambapo kuna dual band , Tri-band na Quardband ndipo uweza kuwa hewani, Serial number kazi yake ni utambulisho wa chesis ya simu, iliyobeba kila kitu. Hivyo basi kama utambulisho wa chesis no. na baseband zikawa Null, Invalid simu hiyo haiwezi kufanya kazi, kwani imekiuka mikataba ya FCC, usiwadanganye watu kuwa Haina maana kwani wakati ukiwa umefanya kosa wakati wa kukutrack angalia wenzetu walio na iphone mfano.
IMEI: 013048001704356
Original Serial: DNQH4MVFDTC0
Network: Global
Activated: Yes
Contract Status: Unknown
AppleCare Protection: No
Telephone Technical Support: Expired
Repairs & Service Coverage: Expired
Purchase Country: UK
Purchase Date: February 23, 2012
Sold To: ORANGE PERSONAL COMMUNICATIONS
Carrier: 302 - UK TMobile Orange.
Factory Simlock: Locked
Carrier Last Update: 2015-04-09 20:35:44
Find My iPhone: OFF
SIM Lock: Locked
Ukichukua serial Number ukaiseach inakuletea taarifa zote za simu na mtumiaji alipo, hivyo basi ili kuweka kumbu kumbu mzuri, haiwezekani mtu unaambiwa saa fulani yupo number flani yenye serial no. fulani wakati una line mbili tofauti na umelink line mbili kwa serial number moja, kwa sababu zina option ya ku-off, au ikiwa imei moja imecorrupt na una mpango wa karibu kuitengeneza unawafanya washinde kukutrack, lengo linakuwa halijatimia.
 
Naamini kabisa TCRA hawana ubavu au mechanism ya kuweza kutekeleza unachokisema....
 
Wana JF,

Naanza kwa kuwapa pole wale wote waliotoa pesa zao kwa mbinde kwenda kununua simu original kwenye maduka yanayoaminika na pengine kwenda kwenye maduka ya wanaomiliki mitandao kama Halotel , Vodashop Airtel na Tigo, macho yaliwaonyesha kilicho bora wakanunua lakini baadae wanajikuta wakikosa mawasiliano baada ya ghafla simu zao kuonyesha no network, sim cannot register , network error, searching. haya matatizo mengi yamewakuta watu wanaotumia simu zenye line mbili, haijajulikana ni kwa nini simu ghafla inaandika S/No. 123456789ABCDEF na baadaye kukata network, uchunguzi wa awali unaonekana kuwa kwa kuwa simu zenye line mbili haziwezi kuregister kwenye network kwa kutumia S/No. moja ambayo ni utambulisho wa toleo la simu kama handset product Number, ambayo husomwa kwa bar-code kwa maandishi kama haya IIIIIII IIIIIIII I IIIIII ambayo ubandikwa nyuma ya simu, lakini hii Serio Number ukiisoma kwa ndani iko tofauti kabisa, simu hizi uonekana kama za kimangumashi ingawa kwa tanzania wanaziingiza kama original phone, simu zenye lini mbili nchi nyingi kama Uingeleza, Marekani Japani hawazitumii kabisa ingwaje wanaziuza madukni kwa wanaoenda kuzitumia katika nchi za Africa na Asia . Nina hofu kwamba kuna wakati TCRA itapiga marufuku simu zenye line mbili kwa kuwa haiwezekani simu moja ikawa na MSID moja, Baseband Moja alafu imei mbili, kam TCRA wamejipambanua kwamba wapo ktika mapambano ya kupunguza uharifu wanatakiwa kuwaamrisha wenye makampuni ya simu zinazotumia line mbili waakikishe zinawekwa S/No Mbili kwa kila line.
Si kweli, kawaida simu za line mbili huwa na imei mbili, na Samsung, yanayo simu original na hata tecno na nyingine nyingi na bado zinafanya kazi, naona wewe mtalamu fake
 
Naamini kabisa TCRA hawana ubavu au mechanism ya kuweza kutekeleza unachokisema....
kwanini, Mbona wamiliki wa mitandao kama voda/Airtel wamelimwa faini kwa sababu za kurusha line au kuwasha bila kuzitambulisha, technology ya kuzima inawezekana sana kwani unachukua simu ambayo hautaki iwe kwenye soko unaiondoa kwenye connection link kwa kuchukua serial number na imei number na kuiblock kwamba call bared, hivyo technologia sio kubwa sana hata mie nikiwekwa kwenye mtambo kama wa voda naweza kutambua simu feki, simu yoyote ikilink inapata kitu kinaitwa MSID ambayo inakupa nafasi kwenye mtambo wowote , swali dogo mbona ukiswap line, na mtu akaenda kuitumia simcard kwa simu nyingine mbona haipati network?
 
Si kweli simu za line mbili huwa na imei mbili, na Samsung, yanayo simu original na hata tecno na nyingine nyingi na bado zinafanya kazi, naona wewe mtalamu fake
yaaani wewe umeonyesho ukilaza wa hali ya juu , ebu piga *#06#utaona number hizo au check nyuma ya simu yako kuna imei hazifanani, ila zinabebwa na S/No moja.
 
System za network na namna simu zinazofanya kazi zitatuma imei na katika hizo number kuna maana zake pamoja na kitambulisho cha model na unique ya simu husikii soma vizuri sio kutisha watu

IMEI number is structured by theBABT. It has 15 decimal digits. Actualy it has 14 digits plus a check digit. The structure of the IMEI isspecified in 3GPP TS 23.003. First 8 digits ofIMEI number are TAC (Type Allocation Code) which will give you the mobile phone brand and model. Other 7 digits are defined by manufacturer (6 are serial number and 1 is check digit).

If you would like to make sure that check digit is correct click here.

From 2004, the format of the IMEI is AA BBBBBB CCCCCC D.

TACSERIALCHECK DIGITAA BBBBBBCCCCCCD

In any of the above cases, the first two digits of the TAC are the Reporting Body Identifier, which identifies the GSMA-approved group that allocated the TAC. The RBI numbers are allocated by the Global Decimal Administrator. The first two digits are always decimal (i.e., less than 0xA0), allowing IMEI numbers to be distinguished from an MEID, which will always have 0xA0 or larger as its first two digits.

Example of IMEI number 35 780502 398494 2structure:

35 is reporting body identifier.
780502 manufacturer and brand (phone type)
398494 serial number
2 check digit
 
Na Ikiwa simu yako *#06# hazifanani na ya imei ya nyuma ya battery imebadishwa kwa sababu mbali mbali kama vile simu ilikuwa na network ya nje wameandikia cert file, hasa kwa Samsung, na zingine zilikuwa zime kuwa blocked nje wanazibadilisha ili zitumike tena nk, hivyo ukiona simu imefungwa ni original inatakiwa irudiswe dukani au kurudisha original imei zake za nyuma kwenye battery
 
Soma na hii kazi ya serial number haitumiki kabisa katika network request

What is the serial number?

The manufacturer assigns to each device a unique serial number, in which encoded all information about the product: model, production country , date of manufacture. The serial number is unique for each device from one manufacturer.

What is IMEI?

Mobile phones, except the serial number have also IMEI number. IMEI — International Mobile Equipment Identity. IMEI — a common standard for all mobile devices, which is assigned to the phone at the time of manufacture it in the factory. It's the unique number, which is broadcasting to the carrier to authorize phone in the network. Structure of the IMEI is the same for all phones regardless of manufacturer. IMEI number is also used to track and block lost or stolen phones by the carrier, which further prevents to use of such devices. However, blocking IMEI in one carrier network have no effect in others networks.
 
Wana JF,

Naanza kwa kuwapa pole wale wote waliotoa pesa zao kwa mbinde kwenda kununua simu original kwenye maduka yanayoaminika na pengine kwenda kwenye maduka ya wanaomiliki mitandao kama Halotel , Vodashop Airtel na Tigo, macho yaliwaonyesha kilicho bora wakanunua lakini baadae wanajikuta wakikosa mawasiliano baada ya ghafla simu zao kuonyesha no network, sim cannot register , network error, searching. haya matatizo mengi yamewakuta watu wanaotumia simu zenye line mbili, haijajulikana ni kwa nini simu ghafla inaandika S/No. 123456789ABCDEF na baadaye kukata network, uchunguzi wa awali unaonekana kuwa kwa kuwa simu zenye line mbili haziwezi kuregister kwenye network kwa kutumia S/No. moja ambayo ni utambulisho wa toleo la simu kama handset product Number, ambayo husomwa kwa bar-code kwa maandishi kama haya IIIIIII IIIIIIII I IIIIII ambayo ubandikwa nyuma ya simu, lakini hii Serio Number ukiisoma kwa ndani iko tofauti kabisa, simu hizi uonekana kama za kimangumashi ingawa kwa tanzania wanaziingiza kama original phone, simu zenye lini mbili nchi nyingi kama Uingeleza, Marekani Japani hawazitumii kabisa ingwaje wanaziuza madukni kwa wanaoenda kuzitumia katika nchi za Africa na Asia . Nina hofu kwamba kuna wakati TCRA itapiga marufuku simu zenye line mbili kwa kuwa haiwezekani simu moja ikawa na MSID moja, Baseband Moja alafu imei mbili, kam TCRA wamejipambanua kwamba wapo ktika mapambano ya kupunguza uharifu wanatakiwa kuwaamrisha wenye makampuni ya simu zinazotumia line mbili waakikishe zinawekwa S/No Mbili kwa kila line.
mhh,naona mwendo kasi umeamia tcra
 
kwanini, Mbona wamiliki wa mitandao kama voda/Airtel wamelimwa faini kwa sababu za kurusha line au kuwasha bila kuzitambulisha, technology ya kuzima inawezekana sana kwani unachukua simu ambayo hautaki iwe kwenye soko unaiondoa kwenye connection link kwa kuchukua serial number na imei number na kuiblock kwamba call bared, hivyo technologia sio kubwa sana hata mie nikiwekwa kwenye mtambo kama wa voda naweza kutambua simu feki, simu yoyote ikilink inapata kitu kinaitwa MSID ambayo inakupa nafasi kwenye mtambo wowote , swali dogo mbona ukiswap line, na mtu akaenda kuitumia simcard kwa simu nyingine mbona haipati network?
Tigo/Voda wamelimwa fine sababu walisajili line bila kutumia njia sahihi i.e. vitambulisho maana hiki kinafanyika sana freelancer ukimwambia sina kitambulisho anakawambia nitajie tu majina yako...bila uthibitisho wowoe ule...zoezi la kuzima simu feki ni ushahidi kwamba TCRA hawana uwezo kama walivyojitanabaisha na zoezi a kuzima simu feki kimsingi limeshakufa.....
 
Soma na hii kazi ya serial number haitumiki kabisa katika network request

What is the serial number?

The manufacturer assigns to each device a unique serial number, in which encoded all information about the product: model, production country , date of manufacture. The serial number is unique for each device from one manufacturer.

What is IMEI?

Mobile phones, except the serial number have also IMEI number. IMEI — International Mobile Equipment Identity. IMEI — a common standard for all mobile devices, which is assigned to the phone at the time of manufacture it in the factory. It's the unique number, which is broadcasting to the carrier to authorize phone in the network. Structure of the IMEI is the same for all phones regardless of manufacturer. IMEI number is also used to track and block lost or stolen phones by the carrier, which further prevents to use of such devices. However, blocking IMEI in one carrier network have no effect in others networks.
safi sana umeichimba vizuri, haya sasa tuje kwenye logic, je kama simu ya samsung imekufa S/No. na base band inafanya kazi? kama haiwezi ni kwa nini?
 
System za network na namna simu zinazofanya kazi zitatuma imei na katika hizo number kuna maana zake pamoja na kitambulisho cha model na unique ya simu husikii soma vizuri sio kutisha watu

IMEI number is structured by theBABT. It has 15 decimal digits. Actualy it has 14 digits plus a check digit. The structure of the IMEI isspecified in 3GPP TS 23.003. First 8 digits ofIMEI number are TAC (Type Allocation Code) which will give you the mobile phone brand and model. Other 7 digits are defined by manufacturer (6 are serial number and 1 is check digit).

If you would like to make sure that check digit is correct click here.

From 2004, the format of the IMEI is AA BBBBBB CCCCCC D.

TACSERIALCHECK DIGITAA BBBBBBCCCCCCD

In any of the above cases, the first two digits of the TAC are the Reporting Body Identifier, which identifies the GSMA-approved group that allocated the TAC. The RBI numbers are allocated by the Global Decimal Administrator. The first two digits are always decimal (i.e., less than 0xA0), allowing IMEI numbers to be distinguished from an MEID, which will always have 0xA0 or larger as its first two digits.

Example of IMEI number 35 780502 398494 2structure:

35 is reporting body identifier.
780502 manufacturer and brand (phone type)
398494 serial number
2 check digit
hat is the serial number?
The manufacturer assigns to each device a unique serial number, in which encoded all information about the product: model, production country , date of manufacture. The serial number is unique for each device from one manufacturer.
 
safi sana umeichimba vizuri, haya sasa tuje kwenye logic, je kama simu ya samsung imekufa S/No. na base band inafanya kazi? kama haiwezi ni kwa nini?
Tuanze na baseband

A baseband processor (also known asbaseband radio processor, BP, or BBP) is a device (a chip or part of a chip) in a network interface that manages all the radio functions (all functions that require an antenna); however, this term is generally not used in reference to Wi-Fi and Bluetooth radios.

Baseband nikama nic kwenye computer network, kwa Samsung na simu zingine ndio chip ambayo imei uandikwa hiyo ndio sababu kubwa kama baseband ikiwa imefutika yani null hata imei haipatikani

ImeiSign , IMEI + SERIAL + CPU + BASEBAND
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom