Modrizzy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 971
- 1,793
Hizi avatar ndo anazozpinga mtoa madashida ndio hizo maneno za kufanya mpaka mtu aingie kilaini.
New ID teh teh teh teh.![]()



Hizi avatar ndo anazozpinga mtoa madashida ndio hizo maneno za kufanya mpaka mtu aingie kilaini.
New ID teh teh teh teh.![]()



Poteza yako ni ipi unamaanisha rafiki!Hahahaaaa. Hujaelewa kupoteza yangu rafiki banaaa. Sijui kwa nini tunatofautiana kuelewa.
Tena kama mie na sura yangu hii wala wasingerudi. Teh teh maana nafanana na Babu yangu mieee.![]()


😂😂😂😂😂 lolHizi avatar ndo anazozpinga mtoa mada![]()
Yaani waeza kuta mtu ana mahusiano yake mazuri tu huko nje ila mtu akaja na mbwembwe zake weee kumbe msanii kama Avatar zetu mwisho wa siku mtu anakosa bara na pwani.Poteza yako ni ipi unamaanisha rafiki!
Ila mi kwa ramli yangu hadi sasa hautofautiani sana na avatar yako![]()
Hahahaha, mtani mie na wewe hakuna kutongozana ,ktk ile ratiba yetu ya kuonana ,lzm tutii hii sharia,ni mastory tu tena ya mpira ,Hata sitaki. Hiyo kujifunza yako pasi kutushirikisha napata shaka nayo.
Mie nishafika mwisho. Maana rafiki zangu kwa mbaali wanasema hakuna kuonana pasi kutongozana yaani kuonana na mtu kiunganishi ni mtongozo.![]()
Hahahaha, mtani mie na wewe hakuna kutongozana ,ktk ile ratiba yetu ya kuonana ,lzm tutii hii sharia,ni mastory tu tena ya mpira ,![]()
![]()
Ili kuwaonesha vijana,kuwa wahenga huwa wanajadiliana tu mambo mengine si hayo ,![]()
![]()
Nikutakie jioni njema mtani/Rafiki
Sasa ukiwa umefanana sura na baba yako Samaki samaki tutaendaje?Ndivyo tulivyoumbwa wanaume Dada yangu!
Hahahaaaaaa, kweli rafiki na mimi nilielewa hivyo ila nikatolea mfano wa avatar zinavyoweza kumfanya mtu aje mbio tena pengine ana lengo zuri ikiwa mtaelewana vizuri lkn akaja kujua kuna uongo mwingi ndani yake ikiwemo avatar feki anakimbia.Yaani waeza kuta mtu ana mahusiano yake mazuri tu huko nje ila mtu akaja na mbwembwe zake weee kumbe msanii kama Avatar zetu mwisho wa siku mtu anakosa bara na pwani.
Hiyo ndio poteza yangu hivyo mitongozo ya humu hata sio rafiki. Ni kumi kwa mmoja wanaomaanisha wengine wote chenga.




avatr husadifu uhalisia wa mtu kwani yangu umeielewaje
Ujue rafiki Mi Yanga mwenzio nije kukusaidia kuchangia mada, si wajua wao wana kikosi kipana? Atakuzidi kwa maneno mangiUmeonaeee. Tena nitavaa ile jezi yangu ya Yanga aisee najua hapo story zitakuwa za kina Makambo tu na Chama.
Ahsante nawe pia rafiki. Wasalimie.
Oooh. Hivyo mwashauri watu waweke Avatar zipi?Hahahaaaaaa, kweli rafiki na mimi nilielewa hivyo ila nikatolea mfano wa avatar zinavyoweza kumfanya mtu aje mbio tena pengine ana lengo zuri ikiwa mtaelewana vizuri lkn akaja kujua kuna uongo mwingi ndani yake ikiwemo avatar feki anakimbia.
Kwani rafiki wee una mahusiano yako mazuri tu au kuna aliekwishajimilikisha?
Samahani lkn rafiki.....,
Hahahaaa. Wewe tuishie kwenye zile nyuzi za Yanga tu rafiki.Ujue rafiki Mi Yanga mwenzio nije kukusaidia kuchangia mada, si wajua wao wana kikosi kipana? Atakuzidi kwa maneno mangi
Mi buheri wa afyaa mamii,Heey sweet Mangi...
I missed you too...
Uko wapoi nikufate, niambie nipajue, angalau nikuone, kisha nitulie.... heheheheee
Natumai siku yako ni njema.
Picha ni lazima mtu aione, usije kuwa unamtongoza ndugu yako.
Ziwe hata za vikatuni tu, sio unatuwekea ya wema kumbe ndani yake yupo umber ruttyOooh. Hivyo mwashauri watu waweke Avatar zipi?
Uuwiiii. Mie nishamilikiwa zamani sana tu rafiki hadi na wajukuu ninao hapa. Teh teh.





Usilolijua ni saw a na usiku WA Giza loh. Sipendagi ujinga WAwanaume wapumbavuhahaha wewe nini mbona km unatoa mapovu sana nimesoma msg zako zaidi ya 10 zote zipo chembe chembe ya povu na hasira by the way mtoa mada akome
Una maneno makali sana my dear.Usilolijua ni saw a na usiku WA Giza loh. Sipendagi ujinga WAwanaume wapumbavu
Hahahaaaa. Mutuzowee tu rafiki.Ziwe hata za vikatuni tu, sio unatuwekea ya wema kumbe ndani yake yupo umber rutty
Safi sana rafiki ndio maana nkasema wee hautofautiani sana na avatar yako,
Kila la kheri rafiki.
Sawa rafiki, wacha niwe mpole!!Hahahaaa. Wewe tuishie kwenye zile nyuzi za Yanga tu rafiki.
Ila nimecheka sana hapa. Duuuh. Samboko sijawahi kuwazia kwamba uko namna hii.
Hahahaaa. Za vikatuni tena?Ziwe hata za vikatuni tu, sio unatuwekea ya wema kumbe ndani yake yupo umber rutty
Safi sana rafiki ndio maana nkasema wee hautofautiani sana na avatar yako,
Kila la kheri rafiki.