Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Ndo hivyo mkuu , jina, mada zake pamoja na avatar vilinifanya ni usiku mzima nisilale nikiingonjea siku ya kuonana na mrembo matata, ila niliyekutana nae sina budi kutubu na kumrudia mola wangu au nikomae na wa huku uswazi kwetu.
Hahahahahahah, ni noma mkuu kuna moja niliwahi ivutia whatsapp kucheki kumbe ni baamed af kolo kinoma nikaona isiwe kesi, since then no shobo humu! Tuchat tu yaishie hapa
 
Ur just say that bse ur not a man.first we tempted then love..i can be tempted by ur avatar then nikajenga taswira how carha look like naamua kukutokea at the end nikikuona ur away frm my imagination ndicho kilichomkuta mleta thread..
Sasa hapo kosa sio avator ni wrong imagination zake tupu. Hivi.mtandao unampenda tu mtu from now where eti avator mi naona ni shida tupu
 
Hahaaaa makubwa haya hivi unavutiwaje na avator ya mtu eti ndo upendo kah kwani mtu akiwa na hyo sura kajiumba yeye si ndo alivozaliwa you can't change it umba wa kwako mzuri, mi ndo mana hushangaa watu humu anataka akuone sura na picha ili iweje. JF ni mtandao mzuri ukiutumia positive wengine tumekutana na watu humu twaheshimiana no utoto sijui sura, status tumekuwa wote Mengi.

Ndivyo tulivyoumbwa wanaume Dada yangu!
 
Sasa hapo kosa sio avator ni wrong imagination zake tupu. Hivi.mtandao unampenda tu mtu from now where eti avator mi naona ni shida tupu
Aiseee basi muweke picha zenu ili tatizo la wrong imagination lisiwepo
 
Ndo hivyo mkuu , jina, mada zake pamoja na avatar vilinifanya ni usiku mzima nisilale nikiingonjea siku ya kuonana na mrembo matata, ila niliyekutana nae sina budi kutubu na kumrudia mola wangu au nikomae na wa huku uswazi kwetu.
Ninong'oneze kidogo....ni nani huyo
 
Back
Top Bottom