Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,244
- 90,420
Hahahaha, ila dharau tu sio nzuri kwa yoyote yule,uwe unamjua au humjui ,km mlionana na hkn aliyemvutia mwenzie ,si mna uchuna tu kimya kimya,maisha yanaenda, haina haja ya kudharaulianaNdo maana ukiwa na adabh huku unabishana kwa step. Sio mtu kakupa tusi na wewe unarudisha tusi siku mkijuana ni ********. Kuna wengine hizi fake Id na avatar zinawapa ujasiri wa kudharau yeyote yule.