Bakariforever
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 510
- 514
Tuanze na wewe sasa kwenye hiyo avator kabla ya kwenda kwa mwingine ili ushauri wako ufanyiwe kazi vizuriHahahahaha cariha ila me ushauri wangu muwe mnaweka avator ambazo zinaendana nanyinyi bac ili siku tukikutana mshtuko wetu usiwe mkubwa hii si kwawanawake tu bali hata kwavidume, mwanaume unasura kama wasira alafu unaweka evator ya chriss brown