Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Habari zenu wana MMU,
Usidanganyike na mada zao.
Usidanganyike na avatar zao
Usidanganyike na swaga zao.
Usidanganyike na usomi wao.
Usidanganyike na kejeri zao humu jukwaani.
Usidanganyike na kujifanya mambo safi
Wanaoponda wanaume wafupi, mara wasio na magari mazuri.
Wengi wao ukikutana nao hutaamini kile ukionacho mbele ya macho yako.
Huyu
Acha nipambane na hawa wa kina mwajuma ndala ndefu wa huku kwetu KIMBANGULIRE.
Leo ninatubu na storudia kumpenda mtu kwa avatar yake au picha.
Camera za 360 na simu za tecno zinawapendelea sana.
Nasema hivi .
(NIMETUBU SITARUDIA)
Muwe na na siku njema.
Mkuu umesahau picha
 
Hahahaaa. Nadhani neno Changamoto limekuwa pana mie nilidhani yaani baada ya kuonana nao ndio changamoto zikawepo kwamba labda zile za kuigiza maisha. Teh teh

Ila hizi za kutongozwa haziepukiki rafiki.
Ahsante.
 
Sasa mi nimeona wenzangu wadhembe, nkasema ngoja niwahi seat

Poa rafiki usijali pamoja sanaaa
Hahahaaa. Hakuna mzembe hata mmoja rafiki.

Usijali bana wanaume tunawajua mambo zenu hivyo tunajitahidi kadri ya uwezo kuweza kwenda na nyie sawa maana tukiwashiriki huwa mnapotezaga nyieee. 😂😂😂😂😂
 
Hahahaaa. Hakuna mzembe hata mmoja rafiki.

Usijali bana wanaume tunawajua mambo zenu hivyo tunajitahidi kadri ya uwezo kuweza kwenda na nyie sawa pasi kupotea maana mnapotezaga nyieee.

Sema tunapotezana bwana,

Mfano wee na avatar yako unawapoteza wengi wakija kukuona live afu hufanani nayo nao wanakupoteza, inakua ngoma droo
 

Sema tunapotezana bwana,

Mfano wee na avatar yako unawapoteza wengi wakija kukuona live afu hufanani nayo nao wanakupoteza, inakua ngoma droo
Hahahaaaa. Hujaelewa kupoteza yangu rafiki banaaa. Sijui kwa nini tunatofautiana kuelewa. 😂😂😂😂😂😂

Tena kama mie na sura yangu hii wala wasingerudi. Teh teh maana nafanana na Babu yangu mieee. 💃💃💃💃💃
 
Unatongozaje mtu ambaye hata hujui A to Z zake...

Idiot!
 
Hahahaha, nimependa maongezi yenu,nimejifunza kitu mtani ,endeleeni
Hata sitaki. Hiyo kujifunza yako pasi kutushirikisha napata shaka nayo.

Mie nishafika mwisho. Maana rafiki zangu kwa mbaali wanasema hakuna kuonana pasi kutongozana yaani kuonana na mtu kiunganishi ni mtongozo. 😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom