Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Hahahaaa. Changamoto ziletwe na nini?

Labda niseme sijakutana na mtu kwa ajili ya hizo mambo za kutongozana zaidi ya kuheshimiana na kuwa marafiki wengine ndipo ni ndugu kabisaaa.
Wee si mwanamke lakini, utakosaje mtongozo? Na ivi avatar yako inaita ivo!!
 
Oooh. Sawa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usijali rafiki. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa rafiki, lakini unajua nini...... Au baas[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakubali hilo pia.

Ila inawezekna pia baina ya hao watu kuna kikwazo kilichokuepo ndio wasingeweza kufanya hvyo.

Na pia unaweza ukabahatika kukutana na wastaarabu kma mim ikawa poa[emoji23] [emoji23]
Hahahaaaaa. Huenda ikawa pia.

Nimecheka hicho kisentensi chako cha mwisho lol. Nilishafunga kurasa maana ndugu , jamaa na marafiki naona kama wametosha hivi. 😂😂😂😂
 
Hahahaaaaa. Huenda ikawa pia.

Nimecheka hicho kisentensi chako cha mwisho lol. Nilishafunga kurasa maana ndugu , jamaa na marafiki naona kama wametosha hivi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hhhhhh[emoji23] [emoji23] [emoji23] .

Mim kwa vile hawajanitosha bas ntaendelea kuwakaribisha.

Sera ya kwetu si unaijua.
 
Kumbe umekuja kunisaidia kuanisha hilo neno(mtongozo) hakunielewa nilimaanisha hvyo akasema hajawahi kukutana nazo hizo changamoto.
Amekwepeshaa, nimemshtukia [emoji23][emoji23]
 
Naona mnatumia nguvu kubwa kulazimisha kwamba kila wanaokutana basi wametongozana ila niwaambie tu kiukweli haipo hivyo.
Sivyo nilivyomaanisha.

Nakusudia katika kila jmbo kuna changamoto nilijaribu kuuliza changamoto unazopitia.
 
Oooh. Hapo sawa.

Wamekusikia wenye uhitaji rafiki. Hahahaaaa. Eti sera ya kwetu. Lol
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sio kma hujui kuna sera za wanaume wa dar,wanaume wa mikoni na wanaume wa visiwani hao kila mmoja ana sera yake[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom