Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

HAPA UMEZINGUA...SEMA UMEKUTANA NA NINI IN DETAIL
 
Kulikuwa na ulazima wa kumtumia Mh Pinda???

Umemkosea heshima. Yule ni baba pia.
Kuna comments ya mtu juu alisema sura ya Pinda sio kwa ubaya sasa na Mimi nikamuelezea hivo maana yeye anajiona mzuri sana. Mimi naamini binadamu wote wazuri kikubwa roho ya mtu. Hyo ilikuwa eboration tu
 
Don't do that again,
 
Hi Kasiee,
Miss you....
 
Una bahati mbaya tu mkuu,nimebahatika kuonana na watu wawili kupitia JF mmoja dada mwingine mshikaji, but tunawasiliana na kushauriana vema kabisa,sijui labda ww lengo lako lilikuwa nn mkuu?
 
Dah!!
 
Acha uwongo yaani ulivyo mrembo hivyo
Nakazia mm sasa hivi kuweka avatar za watu sitaki kabisa nitajiweka mwenyewe tu na hivi ninavyofanana na sura ya baba angu sitaki shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…