Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Nami pia... Nacomment kwa kujidai hapa maana najua mwanangu u mzuri sio mtajwa wa mada.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We bamdogo ebu acha kunijaza na hii sura niliyorithi kwako mm na uzuri wapi na wapiii
 
Ukome
5972edfe-3de4-42e1-90a8-49e980e56efe-gif.914198.gif
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimekumbuka msemo wako bamdogo unamsifia mtu tu hata kama yupoje usimvunje moyo nimekuelewa sana

Asante baba angu kwa kunijaza
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
hayo wayasema weye....mie nasema ya moyoni.
 
Juzi nilikua kwa G. Nimemchek wambeke nikasema akifika tukushtue uje maana nilikua na yule dada angu rafiki yake wambeke. Kabla hajajibu message mambo yakavurugika nikarudi miguu ilala kulala. Yani kila mtu mbaya jamani. Wakurya sijui wamejulia wapi wanawake wazuri
Hahhahha wambeke chizi kila mtu kwake mbaya ila nimemmiss na mm jamani ebu mtafute siku tuonane nae kwa G
 
Back
Top Bottom