Majungu na fitina dhidi ya Waziri wa Nishati nani yupo nyuma?

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,124
7,709
Kuna majungu na fitina yanapikwa dhidi ya Waziri wa Nishati mhe. January Makamba, nauliza nani au kikundi gani kipo ktk kupanga majungu hayo dhidi ya Makamba?

Hoja zinazo tolewa dhidi ya Makamaba ni za kipuuzi na zilizo jaa chuki dhidi ya Makamba binafsi.

Hii tabia ya watanzania kufitiniana na kupigana majungu kwa chuki binafsi itatuchelewesha sana.
tuache wivu wa usio na maana.

January tunamuomba aendelee kupiga kazi achane kabisa na kelele za vyura.

Tunamuomba Mhe. Rais kamwe asikubali kusikiliza majungu na fitina dhidi ya mawaziri waaminifu na wachapa kazi.
 
Tinaombeni majibu wanakijani, kabla sijachara ntu bakora.
 
Kuna majungu na fitina yanapikwa dhidi ya Waziri wa Nishati mhe. January Makamba, nauliza nani au kikundi gani kipo ktk kupanga majungu hayo dhidi ya Makamba?

Hoja zinazo tolewa dhidi ya Makamaba ni za kipuuzi na zilizo jaa chuki dhidi ya Makamba binafsi.

Hii tabia ya watanzania kufitiniana na kupigana majungu kwa chuki binafsi itatuchelewesha sana.
tuache wivu wa usio na maana.

January tunamuomba aendelee kupiga kazi achane kabisa na kelele za vyura.

Tunamuomba Mhe. Rais kamwe asikubali kusikiliza majungu na fitina dhidi ya mawaziri waaminifu na wachapa kazi.
Wewe acha kutafuta Huruma hapa JF, Kwa kifupi huyo JM mnayempigia upatu ni anabebwa na jina la Mzee wake. Hana maaajabu yoyote kwenye Utendajikazi wake ni mweupe kabisaaa. Halafu Hawa watoto mlioenda kuwasomesha nje ya Nchi sjui Ulaya na America dizain ya huyu Mswanglish na Uongozi wa Nchi zetu za Dunia ya 3 hawawezi hata kuongoza kwenye ngazi ya Kata sembuse kuongoza Wizara??
Huyo Bw. Mdogo amewekwa kulinda Maslahi ya Wala Nchi ili IPTL and the like warudi kuliiibia Taifa. Matokeo yake tushaanza kuyaona.
 
5564470F-ABBA-4313-8D16-33B5BBDC8A38.jpeg
 
Nacheka kwa dharauuuuuuuu

expand...
Sukuma Kingdom is going down slowly and nicely
 
Kuna majungu na fitina yanapikwa dhidi ya Waziri wa Nishati mhe. January Makamba, nauliza nani au kikundi gani kipo ktk kupanga majungu hayo dhidi ya Makamba?

Hoja zinazo tolewa dhidi ya Makamaba ni za kipuuzi na zilizo jaa chuki dhidi ya Makamba binafsi.

Hii tabia ya watanzania kufitiniana na kupigana majungu kwa chuki binafsi itatuchelewesha sana.
tuache wivu wa usio na maana.

January tunamuomba aendelee kupiga kazi achane kabisa na kelele za vyura.

Tunamuomba Mhe. Rais kamwe asikubali kusikiliza majungu na fitina dhidi ya mawaziri waaminifu na wachapa kazi.
Na nyie mmeanzisha majugu kwa Bitteko ili kusawazisha?
 
Nayeye ameanza kuwapa posho mumsafishe? Inamaaa hajui kwamba umeme unakatwa au
 
Kuna majungu na fitina yanapikwa dhidi ya Waziri wa Nishati mhe. January Makamba, nauliza nani au kikundi gani kipo ktk kupanga majungu hayo dhidi ya Makamba?

Hoja zinazo tolewa dhidi ya Makamaba ni za kipuuzi na zilizo jaa chuki dhidi ya Makamba binafsi.

Hii tabia ya watanzania kufitiniana na kupigana majungu kwa chuki binafsi itatuchelewesha sana.
tuache wivu wa usio na maana.

January tunamuomba aendelee kupiga kazi achane kabisa na kelele za vyura.

Tunamuomba Mhe. Rais kamwe asikubali kusikiliza majungu na fitina dhidi ya mawaziri waaminifu na wachapa kazi.
Chawa kama Chawa katika ubora wako.

Naona umesharushiwa muhamala kwenye simu wa weekend basi akili zote zimekuruka.

Muwaambie wawatafutie vibaruwa.
 
Wewe acha kutafuta Huruma hapa JF, Kwa kifupi huyo JM mnayempigia upatu ni anabebwa na jina la Mzee wake. Hana maaajabu yoyote kwenye Utendajikazi wake ni mweupe kabisaaa. Halafu Hawa watoto mlioenda kuwasomesha nje ya Nchi sjui Ulaya na America dizain ya huyu Mswanglish na Uongozi wa Nchi zetu za Dunia ya 3 hawawezi hata kuongoza kwenye ngazi ya Kata sembuse kuongoza Wizara??
Huyo Bw. Mdogo amewekwa kulinda Maslahi ya Wala Nchi ili IPTL and the like warudi kuliiibia Taifa. Matokeo yake tushaanza kuyaona.
Unaweza kukuta wewe mwenyewe hata hujawahi kuongoza kikundi cha kikoba
 
Back
Top Bottom