Majungu na fitina dhidi ya Waziri wa Nishati nani yupo nyuma?

Kuna majungu na fitina yanapikwa dhidi ya Waziri wa Nishati mhe. January Makamba, nauliza nani au kikundi gani kipo ktk kupanga majungu hayo dhidi ya Makamba?

Hoja zinazo tolewa dhidi ya Makamaba ni za kipuuzi na zilizo jaa chuki dhidi ya Makamba binafsi.

Hii tabia ya watanzania kufitiniana na kupigana majungu kwa chuki binafsi itatuchelewesha sana.
tuache wivu wa usio na maana.

January tunamuomba aendelee kupiga kazi achane kabisa na kelele za vyura.

Tunamuomba Mhe. Rais kamwe asikubali kusikiliza majungu na fitina dhidi ya mawaziri waaminifu na wachapa kazi.
 
Kazi gani wakati umeme hakuna??
Kama maji kwa matumizi ya nyumbani mnapata kwa mgao kwasababu ya ukame,na umeme unategemea maji,hivi mnataka waziri umeme autoe wapi?

Mitambo ya gesi nayo mmeambiwa mmeiendesha pasipo service kwa muda mrefu ili mpigiwe makofi,
Hemu ficheni ujinga wenu!
 
Kuna majungu na fitina yanapikwa dhidi ya Waziri wa Nishati mhe. January Makamba, nauliza nani au kikundi gani kipo ktk kupanga majungu hayo dhidi ya Makamba?

Hoja zinazo tolewa dhidi ya Makamaba ni za kipuuzi na zilizo jaa chuki dhidi ya Makamba binafsi.

Hii tabia ya watanzania kufitiniana na kupigana majungu kwa chuki binafsi itatuchelewesha sana.
tuache wivu wa usio na maana.

January tunamuomba aendelee kupiga kazi achane kabisa na kelele za vyura.

Tunamuomba Mhe. Rais kamwe asikubali kusikiliza majungu na fitina dhidi ya mawaziri waaminifu na wachapa kazi.
Ingependeza km ungeoridhesha hayo majungu na fitna zinapigwa juu yake ungeonekana wa maana kidogo, ila sasa we ulichoandika ndo majungu
 
Ww mtoa mada ni mnafiki au huko kwenu umeme upo full time?,naona mnakula mnasubiria ten percent ya winnchi ya tan 26
 
Kuna majungu na fitina yanapikwa dhidi ya Waziri wa Nishati mhe. January Makamba, nauliza nani au kikundi gani kipo ktk kupanga majungu hayo dhidi ya Makamba?

Hoja zinazo tolewa dhidi ya Makamaba ni za kipuuzi na zilizo jaa chuki dhidi ya Makamba binafsi.

Hii tabia ya watanzania kufitiniana na kupigana majungu kwa chuki binafsi itatuchelewesha sana.
tuache wivu wa usio na maana.

January tunamuomba aendelee kupiga kazi achane kabisa na kelele za vyura.

Tunamuomba Mhe. Rais kamwe asikubali kusikiliza majungu na fitina dhidi ya mawaziri waaminifu na wachapa kazi.
THE GANG,ANAKATA MIRIJA YA WATU.
 
kuchafuana ndio imekuwa tabia ya Watanzania walio wengi, na Tabia hii imeeenea kila mahali, sio tu kwa mawaziri bali tabia hiyo imeshamiri maofisini hasa ktk ofisi za umma.

watu wanachafuana sana huko, yaani ni mwendo wa kuangushana ili mwengine apande.

Jambo la msingi ni kwa viongozi wenye dhamana wawe waangalifu ktk kuchukua hatua, wasi sikilize majungu.

majungu yanaharibu na kuwapoteza watendaji wazuri na waadilifu.
 
Hizi tred za makamba ni nyingi sana hapa Jf kwa sasa. Bahati mbaya utendaji wake mbovu habebeki. Akijibu hoja zote hizi mnistue.
 
Wewe ni hawara yake??, Mbona unamkingia kifua ili hali ni kweli ameshindwa kabisa kuisimamia wizara hiyo?!!.Watu km wewe ndio mnasababisha nchi hii isipige hatua za kimaendeleo.

Huwezi amini hanijui wala simjui isipokuwa naridhishwa na utendaji kazi wale always including swala la kukomesha matumizi ya mifuko ya plastics nchini wakati kwa miaka mingi ikishindikana!

Namuonaga kwenye magazeti, TV, na mitandao ya kijamii tu.
 
Back
Top Bottom