MAJUKWAA zaidi ya 42 na watumiaji wake JF

MAJUKWAA zaidi ya 42 na watumiaji wake JF

Yaan mi kuna majukwaa hua siingii kabisaa nisharogwa na majukwaa ma5 tu cereblities forum,MMU.love connect. Habari na hoja mchanganyiko ,siasan kidogo mengine nawaachiaa wenye jamii yaooo
 
Neeeenda kimya kimya yakikushinda rudi kwa maana nipitaga kule najikuta Nipo bubu

Huko full kujiachia akaaaa niache huku huku miaka 800

Hahhhhhaaahhhhhas poaaaawaaa
 
Wakuu poleni na majukumu ya kazi huwa kiukweli jf ni moja ya mitandao ya kijamii ninaoutumia zaidi kwa sasa kuliko hata hiyo wanayoiita ni ya dunia ya kwanza
Kuna kitu mimi kimekuwa kikinivutia sana hapa JF na si kingine ni misimamo ya watumiaji
JF kama tujuwavyo kuna majukwaa yapatayo 42 kama nitakuwa sijakosea yapo yale yalio maarufu na pia kuna yasio maarufu
Kinachonifurahisha ni baadhi ya misimamo ya watumiaji wa majukwaa haya
Wengine toka kuwajuwa wamefunga ndoa na jukwaa moja tu kwa mfano nitajitahidi kuweka baadhi ya watu na misimamo yao kwenye majukwaa hayo.
MFANO JUKWAA LA SIASA MSALANI Yericko Nyerere Ben Saanane ifweero na wengine wengi tu watu hawa wamefunga ndoa na jukwaa hili na nivigumu sana kuwakuta jukwaa jingine wao kutwa nzima wanauwana na siasa tu wapo wengine ka mimi huwa naingia kusaidia mapambano tu!
JUKWAA LA MMU mshana jr charminglady Heaven on Earth ICHANA farkhina masai dada lara 1@lady furahia Dinazarde Eiyer Preta na wengine kibao jukwaa hili ni ndoa yao huwa pia napita kuonaga tu!
WATU WA MAJUKWAA YOTE sungura1980 MziziMkavu Mr Rocky Rich Pol na mimi hapa ndio kwangu Kibo10 na wengine viherehere kila jukwaa tubaonekana
JUKWAA LA KIKUBWA grafani11 Bantu lady funzadume Madame B gwijimimi Mtamile a.rahabu na wengine humu kuna mauwaji ya ajabu nilimfuma madame b anataka watu wa kumfiiiiii tena anata wanaume wawili nikakimbia
JUKWAA LA PICHA utafiti kabanga na wengine wengi ila hawa watu huwakosi hapo kutwa wapo tu pia napitaga kuchungulia
Ebu kwa pamoja najuwa wapo wengi sikuweza kuwataja wote tuweke majina ya wana jf wa majukwaa yao nao watakuja kutueleza kwa nini wamefunga ndoa na majukwaa hayo
Au kwanini wanaangaika kila maali wapo?
Nawashilisha!

Mkuu sio jukwaa la MMU pekee, yaan mie binafsi ndoa niliyofunga na JF ni hadi kifo. Sijui nimekuwa assicted?? Nisipoingia JF nahisi nakosa kitu muhimu sana!

JF imekuwa karibu kuliko kitu / watu. Imenifariji sana wakati wa majanga, upweke na hata majonzi. Pia imenifurahisha, imenichekeza na imeniburidisha.. Inapotoweka hewani huwa napata shida sana...

Long live Jamii Forums!!
 
Last edited by a moderator:

That's true charminglady jf ni dokta wa saikolojia inawasadia sana watu wengi hususani kama mtu kakuzinguwa halafu hutaki mawasiliano naye na mpo meza moja au sehemu moja ukiamua kumkazia unaingia jf hata akikusemesha wewe unamzarau unaongea na familia yako ya jf tu isiyokuwa na majungu wala fitina maana humu hamna kujuwana uwe tajiri masikini nk.
Long live JF
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sio jukwaa la MMU pekee, yaan mie binafsi ndoa niliyofunga na JF ni hadi kifo. Sijui nimekuwa assicted?? Nisipoingia JF nahisi nakosa kitu muhimu sana!

JF imekuwa karibu kuliko kitu / watu. Imenifariji sana wakati wa majanga, upweke na hata majonzi. Pia imenifurahisha, imenichekeza na imeniburidisha.. Inapotoweka hewani huwa napata shida sana...

Long live Jamii Forums!!

Long live charminglady
 
Mkuu Kibo10 jukwaa la Ngalikihinja na grafani11 unaingia kule at your own risk ukikutana na dada yako kule usiongee
Sisi wengine popote pale ni kambi tunaingia na kutoka ila sisani kule kichwa huwa kinaniuma nikiingia
Kwa akina utafiti na kabanga na Tyta kwenye picha tunafurahisha macho

Hilo jukwaa la wakubwa mbona link yake haipo? Ni vigezo vp mtu anapata access ya hilo jukwaa?
 
Hilo jukwaa la wakubwa mbona link yake haipo? Ni vigezo vp mtu anapata access ya hilo jukwaa?
tatty jukwaa hilo lina mambo makubwa kuliko mwili wako
Ukitaka kujumuika na wengine unatakiwa kumPM Invisible umwombe atakuunga na utawakuta wote waliofunga ndoa na jukwaa hilo na ukifika sharti uwasalimie wamiliki wote kwi kwi hahhahha..wakukaribishe utakuwa mkubwa ghafla na utadumisha ndoa yako fuata maelekezo mtafute Invisible akualike.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom