Hiyo ndiyo nini?
mmemsahau Chabruma kule siasani jamani
Mkuu Kibo10 mimi mbona majukwa yote 42 Sichagui jukwaa mimi hebu ona hapa
Post Area Mtamile
Jukwaa la Siasa:762
Jokes/Utani + Udaku/Gossips:64
Celebrities Forum:62
KATIBA Mpya:58
Habari na Hoja mchanganyiko:56
Jamii Photos:50
Jukwaa la Elimu (Education Forum):38
Entertainment:21
Sports:16
Chaguzi Ndogo:15
Mambo ya Kikubwa:13
Yaan mi kuna majukwaa hua siingii kabisaa nisharogwa na majukwaa ma5 tu cereblities forum,MMU.love connect. Habari na hoja mchanganyiko ,siasan kidogo mengine nawaachiaa wenye jamii yaooo
My hubby mshana jr ye Kila pahali yumo.
Mi naingiaga majukwaa mengi Ila mara nyingi huwa msomaji na.mtoaji like tu
shem mara moja moja napitaga kule kwa mahusiano kama nina muda na ninataka kucheka. maana kule kama umeboreka ndo sehemu ya kwenda kupumzikia. lakini uwe makini story zingine ni hatare ni vizuri ukawa na pakujishikiza kinyume chake unaweza adhirika.
Hem pitia na kule jikoni. Ukiingia kule hutotaka tena kutoka