Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,683
- 23,221
Hivi kule kuna kucheka kweliii! !si ni kupika tu
Sa jamani km hujashiba utacheka kweli?
Hivi kule kuna kucheka kweliii! !si ni kupika tu
Sa jamani km hujashiba utacheka kweli?
wewe kweli mbovu....
unamaanisha bado upo single? tuelezani bhana.Mi shemeji yako kwa nanii??
Haya mamaaaa
sungura1980 watu wenye id zaidi ya mbili ni wengi sana mkuu kwaiyo kukiwa na jukwaa lao ni vema
Hamna jamii isiyo kuwa na watu maarufu, hebu tafadhalini kubalini kuwa Bujibuji ni maarufu kwenye jamii yenu na mkae kimya.sungura1980 watu wenye id zaidi ya mbili ni wengi sana mkuu kwaiyo kukiwa na jukwaa lao ni vema
Hili swala la Bujibuji Mmmm tuliache kwanza maana naye haeleweki ni mtu wa kubadilika badilika
Hamna jamii isiyo kuwa na watu maarufu, hebu tafadhalini kubalini kuwa Bujibuji ni maarufu kwenye jamii yenu na mkae kimya.
jukwaa la chit chat nduki,
Nalog off
'...yap,nnachokupendea wee jamaa jukwaa lolote lile wee una Washawasha'
ni mwendo wa kumwaga ----- na kutoka nduki,
Nalog off
Hivi nduki jukwaa la dini linatumika kweli naona kama watu wanalipgopa kimtindo
mie kote nipo ila am addicted to MMU