MAJUKWAA zaidi ya 42 na watumiaji wake JF

Mkuu Kibo10 mimi mbona majukwa yote 42 Sichagui jukwaa mimi hebu ona hapa
Post Area Mtamile
Jukwaa la Siasa:762
Jokes/Utani + Udaku/Gossips:64
Celebrities Forum:62
KATIBA Mpya:58
Habari na Hoja mchanganyiko:56
Jamii Photos:50
Jukwaa la Elimu (Education Forum):38
Entertainment:21
Sports:16
Chaguzi Ndogo:15
Mambo ya Kikubwa:13
 
Last edited by a moderator:
Wakuu poleni na majukumu ya kazi huwa kiukweli jf ni moja ya mitandao ya kijamii ninaoutumia zaidi kwa sasa kuliko hata hiyo wanayoiita ni ya dunia ya kwanza
Kuna kitu mimi kimekuwa kikinivutia sana hapa JF na si kingine ni misimamo ya watumiaji
JF kama tujuwavyo kuna majukwaa yapatayo 42 kama nitakuwa sijakosea yapo yale yalio maarufu na pia kuna yasio maarufu
Kinachonifurahisha ni baadhi ya misimamo ya watumiaji wa majukwaa haya
Wengine toka kuwajuwa wamefunga ndoa na jukwaa moja tu kwa mfano nitajitahidi kuweka baadhi ya watu na misimamo yao kwenye majukwaa hayo.
MFANO JUKWAA LA SIASA MSALANI Yericko Nyerere Ben Saanane ifweero na wengine wengi tu watu hawa wamefunga ndoa na jukwaa hili na nivigumu sana kuwakuta jukwaa jingine wao kutwa nzima wanauwana na siasa tu wapo wengine ka mimi huwa naingia kusaidia mapambano tu!
JUKWAA LA MMU mshana jr charminglady Heaven on Earth ICHANA farkhina masai dada lara 1@lady furahia Dinazarde Eiyer Preta na wengine kibao jukwaa hili ni ndoa yao huwa pia napita kuonaga tu!
WATU WA MAJUKWAA YOTE sungura1980 MziziMkavu Mr Rocky Rich Pol na mimi hapa ndio kwangu Kibo10 na wengine viherehere kila jukwaa tubaonekana
JUKWAA LA KIKUBWA grafani11 Bantu lady funzadume Madame B gwijimimi Mtamile a.rahabu na wengine humu kuna mauwaji ya ajabu nilimfuma madame b anataka watu wa kumfiiiiii tena anata wanaume wawili nikakimbia
JUKWAA LA PICHA utafiti kabanga na wengine wengi ila hawa watu huwakosi hapo kutwa wapo tu pia napitaga kuchungulia
Ebu kwa pamoja najuwa wapo wengi sikuweza kuwataja wote tuweke majina ya wana jf wa majukwaa yao nao watakuja kutueleza kwa nini wamefunga ndoa na majukwaa hayo
Au kwanini wanaangaika kila maali wapo?
Nawashilisha!

hata mimi nipo multipurpose ila. chit chat ndiyo home.
 
Last edited by a moderator:
tatty jukwaa hilo lina mambo makubwa kuliko mwili wako
Ukitaka kujumuika na wengine unatakiwa kumPM Invisible umwombe atakuunga na utawakuta wote waliofunga ndoa na jukwaa hilo na ukifika sharti uwasalimie wamiliki wote kwi kwi hahhahha..wakukaribishe utakuwa mkubwa ghafla na utadumisha ndoa yako fuata maelekezo mtafute Invisible akualike.

Thanx kwa kunielimisha. Maana wengine ni wazee humu lkn hilo jukwaa tunalisikia kwa mbali.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mtamile wewe upo kwenye kundi la viherehere kama mimi kila mahali tupo
Mpaka kwenye kushauri watu afya zao
 
Last edited by a moderator:
sijawahi nyoosha mguu.
nielekeze aisee.
Mkuu karibu sana. Hatua zake ni chache tu. Omba ruhusa kwa mwenye nyumba Invisible. Akijiridhisha atakufungulia mlango.

Ukiwa unaingia shurti upige hodi wadau wakukaribishe kwanza shekhe...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kibo10 mimi mbona majukwa yote 42 Sichagui jukwaa mimi hebu ona hapa
Post Area Mtamile
Jukwaa la Siasa:762
Jokes/Utani + Udaku/Gossips:64
Celebrities Forum:62
KATIBA Mpya:58
Habari na Hoja mchanganyiko:56
Jamii Photos:50
Jukwaa la Elimu (Education Forum):38
Entertainment:21
Sports:16
Chaguzi Ndogo:15
Mambo ya Kikubwa:13
Hiyo ndiyo nini?
 
Thanx kwa kunielimisha. Maana wengine ni wazee humu lkn hilo jukwaa tunalisikia kwa mbali.

Usijali tatty na ukienda kule kwa wakubwa kuna watu watakutamani sana
Ila natangaza rasmi kule wewe ndio utakuwa mke wangu ole wako nikukute na kinjemba kingine
Mimi nitakupa vitu vitamu na mtu yeyote akikusumbua nipe taarifa nimpe adhabu hope umenielewa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom