Majukumu ya mwanamke kwenye ndoa ni yapi?

Ukiachana na chakula cha Usiku na kuzaa watoto(majaliwa ya Muumba). Majukumu ya mke ni yapi, maana naona madada wa siku hizi hawajui kwanini wanaingia kwenye ndoa. Huyu dada juzi tu alitamba katembea na mume wa mtu hadi kasimamishwa kazi. Sasa kahamia Instagram live akisisitiza bado mahari yake ni milioni 500. Ila hajui kupika zaidi ya wali kwenye "rice cooker" Yeye Ni kuagiza vyakula tu Hawezi kwenda sokoni Usafi hawezi Kufua hawezi Kama ni papuchi, wanaume tunapata bure bila ndoa. Yeye anadhani wanawake wenzake waliolewa nafanya vitu gani huko kwenye ndoa?! Kama madada wengi wana fikra kama za huyu ndio maana ndoa za siku hizi hazidumu. Wanapenda harusi tu. Sent using Jamii Forums mobile app
Naona elimu ya ndoa itolewe na taasisi za dini, kila mtu na imani yake kwa vijana hasa, mfano kwa katoliki muda wa mafundisho ya ndoa ni miezi 3 hadi sita, mimi naona huo muda hautoshi. Wasisubiri hadi mtu atangaze ndoa ndio afundishwe, iwe kama miaka 5 hivi kwa yeyote anayehitaji, mtu ajiandae kwa miaka 5.
 
Ukiachana na chakula cha Usiku na kuzaa watoto(majaliwa ya Muumba). Majukumu ya mke ni yapi, maana naona madada wa siku hizi hawajui kwanini wanaingia kwenye ndoa. Huyu dada juzi tu alitamba katembea na mume wa mtu hadi kasimamishwa kazi. Sasa kahamia Instagram live akisisitiza bado mahari yake ni milioni 500. Ila hajui kupika zaidi ya wali kwenye "rice cooker" Yeye Ni kuagiza vyakula tu Hawezi kwenda sokoni Usafi hawezi Kufua hawezi Kama ni papuchi, wanaume tunapata bure bila ndoa. Yeye anadhani wanawake wenzake waliolewa nafanya vitu gani huko kwenye ndoa?! Kama madada wengi wana fikra kama za huyu ndio maana ndoa za siku hizi hazidumu. Wanapenda harusi tu. Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiachana na chakula cha Usiku na kuzaa watoto(majaliwa ya Muumba).

Majukumu ya mke ni yapi, maana naona madada wa siku hizi hawajui kwanini wanaingia kwenye ndoa.

Huyu dada juzi tu alitamba katembea na mume wa mtu hadi kasimamishwa kazi.

Sasa kahamia Instagram live akisisitiza bado mahari yake ni milioni 500.

Ila hajui kupika zaidi ya wali kwenye "rice cooker"
Yeye Ni kuagiza vyakula tu
Hawezi kwenda sokoni
Usafi hawezi
Kufua hawezi

Kama ni papuchi, wanaume tunapata bure bila ndoa.

Yeye anadhani wanawake wenzake waliolewa nafanya vitu gani huko kwenye ndoa?!

Kama madada wengi wana fikra kama za huyu ndio maana ndoa za siku hizi hazidumu.

Wanapenda harusi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Majukumu ya kazi za nymbani kwa mama inategemea mpo kwenye ndoa gani.
Kama ni hizi za kisasa wote mnatoka asubuh mnarudi usiku basi inanidi msaidiane na mengine.
Ila kama mume anajiweza basi mama abaki nyumbani ahudumie familia aangalie watoto na apate mda wa kupumzika kwa ajir ya....
 
Chakula ni muhimu kumpikia ale mahanjumati ya mkewe .
Mapenzi umburudishe aburudike akuburudishe mufurahie.
Sikia best maisha mengine kama kufua nunua mashine .
Anakuwa anakuogesha ,unamuogesha , unamlisha anakulisha .
Unamvalisha anakuvalisha .
Unamwonyesha wewe ni special kwake na yeye hivyo hivyo.
Mapenzi ni mazuri sana pale mnaelewana nakupendana .

Kama mimi na mpikia mume yangu na muogesha na kumkanda vyote hivyo ila anasau anaenda kuzaa nje na kulala na shemeji yake .

Ndio life na inauma ila ndio nilimchagua NIKAMWACHA MLEVI MMOJA
SASA TUNAWATOTO WAWILI NA UKIJUMLISHA NA WAKE WA NNE SITA .
NA WANJE MMOJA SABA NA WA NDUGU YAKE NANE.
SASA HUONI HAMNA HAYA BORA MWANAMKE ASAHAU MAJUKUMU YAKE UNAKILA KITU ILA HUNA MUME .
 
Kuzaa watoto na kufariji mumewe
Kuhusu watoto naweza kupata bila hata kuoa na kuhusu kufarijika pombe inanifariji vya kutosha, mwanamke ni stress tu ndio maana hata kwenye biblia mwanamke ndio aliyetumika kuangamiza manabii wengi.
 
Kiukweli asilimia 98 ya wanawake wa kibongo hawajui majukumu ya ndoa, yaani mimi mwanamke nimlishe, nimtibu, nimvishe na kwao niwatumie pesa bado wadogo zake na kwetu pia...nifanye kazi siku nzima natafuta pesa narudi nyumbani nimechoka sana nakutana na maudhi ya gubu lake na bado tena usiku huo nipo na mawazo ya kukerwa mchana katika harakati za kutafuta pesa hapohapo usiku huo nipambane tena kumfikisha kileleni......duuuuhhh aisee hizi ndoa!!!
 
Mapenzi na kuzaa.Mengine mnaweza kukubaliana kadri kila mtu anavyoona inafaa kwenye ndoa yake.
 
Napendekeza ustawi wa jamii wajikite kutoa elimu na majukumu ya ndoa kuliko kufuatilia wanaume wanaoterekeza wanawake na watoto wakati chanzo ya kuterekeza wanawake na watoto ni kutokuwa na elimu ya ndoa.

Ukifuatilia ustawi wa jamii wakihojiwa na kutoa elimu wamejikita sana kwenye matokeo (out put) kuliko kujikita kwenye vyanzo vya matatizo kama haya.

Ni mwanaume gani asiyependa kula chakula cha mkewe ,asiyependa kufuliwa, anayependa nyumba liwe chafu. Elimu ya mashuleni tu haifundishi mtoto kuwa na elimu ya ndoa.
Ndio maana vijana wanawachezea lkn wanawaacha wanaoa wengine,mke/mpezi wako akijua majukumu yake kindoa ni rahisi kumsaidia kazi,ata akipika vibaya unajua tu ni bahati mbaya,

Hawa ma slay queen mm nawaona wachafu ,mwanamke umepaka make up hadi kujua bara analotoka mpaka umulize tena,kucha sasa hadi kero.kikubwa ustawi wa jamii wajikite kutoa elimu ya ndoa sio haki sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
wanawachezea au mnachezeana? Swali kwako; unahitaji mwanamke wa aina gani? Wanaume mliowengi hamna uhalisia kwenye maisha yenu. Utakavyo muaproach kwa Mara ya kwanza ndiyo maisha yenu✍️
 
Back
Top Bottom