Majukumu ya mwanamke kwenye ndoa ni yapi?

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
9,501
12,160
Ukiachana na chakula cha Usiku na kuzaa watoto(majaliwa ya Muumba).

Majukumu ya mke ni yapi, maana naona madada wa siku hizi hawajui kwanini wanaingia kwenye ndoa.

Huyu dada juzi tu alitamba katembea na mume wa mtu hadi kasimamishwa kazi.

Sasa kahamia Instagram live akisisitiza bado mahari yake ni milioni 500.

Ila hajui kupika zaidi ya wali kwenye "rice cooker"
Yeye Ni kuagiza vyakula tu
Hawezi kwenda sokoni
Usafi hawezi
Kufua hawezi

Kama ni papuchi, wanaume tunapata bure bila ndoa.

Yeye anadhani wanawake wenzake waliolewa nafanya vitu gani huko kwenye ndoa?!

Kama madada wengi wana fikra kama za huyu ndio maana ndoa za siku hizi hazidumu.

Wanapenda harusi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napendekeza ustawi wa jamii wajikite kutoa elimu na majukumu ya ndoa kuliko kufuatilia wanaume wanaoterekeza wanawake na watoto wakati chanzo ya kuterekeza wanawake na watoto ni kutokuwa na elimu ya ndoa.

Ukifuatilia ustawi wa jamii wakihojiwa na kutoa elimu wamejikita sana kwenye matokeo (out put) kuliko kujikita kwenye vyanzo vya matatizo kama haya.

Ni mwanaume gani asiyependa kula chakula cha mkewe ,asiyependa kufuliwa, anayependa nyumba liwe chafu. Elimu ya mashuleni tu haifundishi mtoto kuwa na elimu ya ndoa.
Ndio maana vijana wanawachezea lkn wanawaacha wanaoa wengine,mke/mpezi wako akijua majukumu yake kindoa ni rahisi kumsaidia kazi,ata akipika vibaya unajua tu ni bahati mbaya,

Hawa ma slay queen mm nawaona wachafu ,mwanamke umepaka make up hadi kujua bara analotoka mpaka umulize tena,kucha sasa hadi kero.kikubwa ustawi wa jamii wajikite kutoa elimu ya ndoa sio haki sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiachana na chakula cha Usiku na kuzaa watoto(majaliwa ya Muumba).
Majukumu ya mke ni yapi, maana naona madada wa siku hizi hawajui kwanini wanaingia kwenye ndoa.
Kaka tunakuheshimu sana tu...tukianza kufatilia visa vya malaya nchi haitaenda mbele,sijawahi ona malaya anapika au kufanya kitu chochote zaidi ya kufanya mapenzi tu hata ukienda gheto la malaya huwa hawapiki kuna furniture na kumepambwa vizuri ila kitandani ndo kunavutia zaidi na msosi mtaagiza hawapiki
 
Napendekeza ustawi wa jamii wajikite kutoa elimu na majukumu ya ndoa kuliko kufuatilia wanaume wanaoterekeza wanawake na watoto wakati chanzo ya kuterekeza wanawake na watoto ni kutokuwa na elimu ya ndoa.

Ukifuatilia ustawi wa jamii wakihojiwa na kutoa elimu wamejikita sana kwenye matokeo (out put) kuliko kujikita kwenye vyanzo vya matatizo kama haya.

Ni mwanaume gani asiyependa kula chakula cha mkewe ,asiyependa kufuliwa, anayependa nyumba liwe chafu. Elimu ya mashuleni tu haifundishi mtoto kuwa na elimu ya ndoa.
Ndio maana vijana wanawachezea lkn wanawaacha wanaoa wengine,mke/mpezi wako akijua majukumu yake kindoa ni rahisi kumsaidia kazi,ata akipika vibaya unajua tu ni bahati mbaya,

Hawa ma slay queen mm nawaona wachafu ,mwanamke umepaka make up hadi kujua bara analotoka mpaka umulize tena,kucha sasa hadi kero.kikubwa ustawi wa jamii wajikite kutoa elimu ya ndoa sio haki sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Naona elimu ya ndoa itolewe na taasisi za dini, kila mtu na imani yake kwa vijana hasa, mfano kwa katoliki muda wa mafundisho ya ndoa ni miezi 3 hadi sita, mimi naona huo muda hautoshi. Wasisubiri hadi mtu atangaze ndoa ndio afundishwe, iwe kama miaka 5 hivi kwa yeyote anayehitaji, mtu ajiandae kwa miaka 5.
 
Kaka tunakuheshimu sana tu...tukianza kufatilia visa vya malaya nchi haitaenda mbele,sijawahi ona malaya anapika au kufanya kitu chochote zaidi ya kufanya mapenzi tu hata ukienda gheto la malaya huwa hawapiki kuna furniture na kumepambwa vizuri ila kitandani ndo kunavutia zaidi na msosi mtaagiza hawapiki
Sawa.
 
tatizo tunaoa wasiojua majukumu yao tukitegemea tutawabadili. wao wanaona mpaka umefikia hatua ya kumuoa manake umekubaliana na jinsi alivyo. yani kwamba upo ok na yeye kutokupika, kutokufua.

mwanaume atakaemuoa Diva halafu arudi kwenye social media aanze kulalamika kwamba Diva hafui wala hadeki wala hapiki, sisi kitu cha kwanza tutakachofanya ni kumtukana na kumtafuta tumpige makofi, sababu Diva mwenyewe alishatamka anachoweza na asichoweza kufanya, kwahio mpaka huyo mwanaume ameamua kumuoa manake amekubaliana na jinsi Diva alivyo.

wapo wanawake wengi wanaofanya kazi zote za nyumbani, ukienda kuoa tofauti na hao basi we pambana tu na hali yako sio unakuja kulialia humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom