Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,568
- 96,190
Hahahahawanawachezea au mnachezeana? Swali kwako; unahitaji mwanamke wa aina gani? Wanaume mliowengi hamna uhalisia kwenye maisha yenu. Utakavyo muaproach kwa Mara ya kwanza ndiyo maisha yenu[emoji3578]