Majukumu ya mwanamke kwenye ndoa ni yapi?

Ni kupika,kupeana raha ,kuzaa,kufua nunua mashine ya kufulia huna hela tafuta mtu wa kufua.
................Then wakati unachagua wenye uwezo wa kununua laundry machine usisahau umri nao unasogea,nenda kichwa kichwa ujikute 35 hii hapa uanze kuomba umpate hata utakayemuogesha wewe nini kumfulia.

By the way,huyo aliyesema mahari yake ni mill500 anazijua hata tarakimu zake zinakuwa ngapi kweli?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Rejea katika point yako ya pili kwenye tofauti Kati ya nafasi ya Roho mtakatifu na mwanamke kwa mwanaume;
Bila shaka unamaanisha hii:
• Mwanamke anamsaidia mwanaume kimwili (physically) zaidi wakati Roho Mtakatifu anatusaidia sote kiroho.

Hivi Roho mtakatifu hawezi kumsaidia mwanaume katika Mambo ya kimwili?
Kimsingi Mungu ni Roho, hana mwili.

Kwahiyo, msaada wake kwetu unakuja moja kwa moja na au kupitia wenzetu, kwa njia ya uvuvio (inspiration) na ufunuo (revelation).

Roho Mtakatifu anapomsaidia mwanamke katika kutimiza nafasi yake kama msaidizi wa mwanaume, anakuwa amemsaidia mwanaume kupitia mwanamke.

Kwahiyo, jibu ni kuwa ana huo uwezo, na huwa anamsaidia mwanaume kupitia mwanamke kama ambavyo anamsaidia mwanamke kupitia mwanaume.

Ahsante.
 
Bila shaka unamaanisha hii:



Kimsingi Mungu ni Roho, hana mwili.

Kwahiyo, msaada wake kwetu unakuja moja kwa moja na au kupitia wenzetu, kwa njia ya uvuvio (inspiration) na ufunuo (revelation).

Roho Mtakatifu anapomsaidia mwanamke katika kutimiza nafasi yake kama msaidizi wa mwanaume, anakuwa amemsaidia mwanaume kupitia mwanamke.

Kwahiyo, jibu ni kuwa ana huo uwezo, na huwa anamsaidia mwanaume kupitia mwanamke kama ambavyo anamsaidia mwanamke kupitia mwanaume.

Ahsante.
Asantee mkuu

Nitakuja Tena na maswali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiachana na chakula cha Usiku na kuzaa watoto(majaliwa ya Muumba).

Majukumu ya mke ni yapi, maana naona madada wa siku hizi hawajui kwanini wanaingia kwenye ndoa.

Huyu dada juzi tu alitamba katembea na mume wa mtu hadi kasimamishwa kazi.

Sasa kahamia Instagram live akisisitiza bado mahari yake ni milioni 500.

Ila hajui kupika zaidi ya wali kwenye "rice cooker"
Yeye Ni kuagiza vyakula tu
Hawezi kwenda sokoni
Usafi hawezi
Kufua hawezi

Kama ni papuchi, wanaume tunapata bure bila ndoa.

Yeye anadhani wanawake wenzake waliolewa nafanya vitu gani huko kwenye ndoa?!

Kama madada wengi wana fikra kama za huyu ndio maana ndoa za siku hizi hazidumu.

Wanapenda harusi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anadhani atauza papuchi tu kwa mume wake ibatpsha?? After all Papucgi ya Mke unaitafuna mwezi mmoja tu baada ya hapo umeshaichoka. Kinachoendeleza mahaba ndani ya nyumba ni vile vijituko vidogo vidogo kupika chakula kizuri, usafi ndani ya nyumba. Urembo na upendo wa ndugu na majirani.

Wengi hawadum kwenye ndoa wanaanza kulia lia oooh hakuna wanaume siku hizi kumbe wao hawana sifa za kuwa wanawake.
 
Jiulize kukutana na wangapi?
Na wangapi waliahidi kumuoa?
Matokeo yake yalikuwaje?

Kuna watu wa kutumiwa na kuachwa tu, hadi akili zitakapomkaa sawa!

Kuna watu shetani anaendele kufunga ufahamu wao bila wao kujijua.
Umeongea ukweli wote. Yaani mwanamke kwa kutafuna tu kila mwanamke ni mzuri. Inapokuja kwenye kujitambua hapo kwenye swala la ndoa na majukum yake kila mwanaume anaianglia kwa mapana.
 
tatizo tunaoa wasiojua majukumu yao tukitegemea tutawabadili. wao wanaona mpaka umefikia hatua ya kumuoa manake umekubaliana na jinsi alivyo. yani kwamba upo ok na yeye kutokupika, kutokufua.

mwanaume atakaemuoa Diva halafu arudi kwenye social media aanze kulalamika kwamba Diva hafui wala hadeki wala hapiki, sisi kitu cha kwanza tutakachofanya ni kumtukana na kumtafuta tumpige makofi, sababu Diva mwenyewe alishatamka anachoweza na asichoweza kufanya, kwahio mpaka huyo mwanaume ameamua kumuoa manake amekubaliana na jinsi Diva alivyo.

wapo wanawake wengi wanaofanya kazi zote za nyumbani, ukienda kuoa tofauti na hao basi we pambana tu na hali yako sio unakuja kulialia humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee wapo wanawake hadi raha. Yaani mwanamke ni msafi ukifika nyumbani hicho kitanda tu ukifika uchovu wote unakatika na tamaa ya kunjunjana inakuja fastaa. Chakula tu utakachopikiwa lazima umzawadie mabao ya kutosha.
 
Kaka tunakuheshimu sana tu...tukianza kufatilia visa vya malaya nchi haitaenda mbele,sijawahi ona malaya anapika au kufanya kitu chochote zaidi ya kufanya mapenzi tu hata ukienda gheto la malaya huwa hawapiki kuna furniture na kumepambwa vizuri ila kitandani ndo kunavutia zaidi na msosi mtaagiza hawapiki
Hero100 umenifurahisha na kunichekesha. Umeongea pointi.

Hata sisi makachelo na mabachela tukianza maisha ya meghetoni swala la.kupika haliepukiki lakini eti siku hizi unakuta mschana kabisa kupika hajui lakini anataka ndoa.

Vichekesho sana.
 
Back
Top Bottom