Major General Mbuge Kuwa RC kutoka Mkuu wa JKT Kapanda Cheo au kashuka?

Uongo mwingine uache,, dodoma na merelani ndo project zilizompa vyeo mbuge, na kama hujui the guy is brilliant engineer the army have, alitoka kuwa mkuu wa jkt ruvu, akaenda kusimamia ukuta merelani akanda cheo,, akapewa project ya dodoma akapanda vyeo,,for tangu operation merelani amekuwa akijihusisha zaid na ujenzi na sio uongozi,
Na kwa taarifa yako sio yeye anayehusika na kupandisha vyeo, acha kuongea upuuzi wako
Alikuwa mkuu wa JKT kwa kupendekezwa na mabeyo and no one else,,
Akiwa jkt kazi yake ni kusimamia kambi zote za jkt na ufanisi wake,, amefanya kazi bomba sana tangu akiwa msimamiz wa mafunzo ya jkt
Cjui unaongea bang gani
Which engineering profession that guy have??
 
Habari wanabodi? naomba kupata uelewa kidogo, kwa nafasi kama ya Major General Mbuge kutoka kuwa Mkuu wa JKT na kwenda kuwa RC je hapo kapanda cheo ama kashuka? naomba uelewa wa kina juu ya hili tafadhali.

Hongera kwake kwa uteuzi!!
Head Prefect akiteuliwa na Headmaster wa Shule kuwa Class Monitor logically tu hapo anakuwa Promoted au Demoted Ndugu?
 
Duuh, yaani CDF ana salute kwa DC? nlkua sijui hii, kwahyo unataka kusema CDF General Mabeyo sasa ata-salute kwa RC Major General Mbuge? mmh
Rudia tena mkuu .
Sijakuelewa,kwamba kila mtuele anapigiwa salute haswa hizi kazi za kisiasa,so kwamba kuna mipaka.?
 
Habari wanabodi? naomba kupata uelewa kidogo, kwa nafasi kama ya Major General Mbuge kutoka kuwa Mkuu wa JKT na kwenda kuwa RC je hapo kapanda cheo ama kashuka? naomba uelewa wa kina juu ya hili tafadhali.

Hongera kwake kwa uteuzi!!
Huyu jamaa kashushwa sana ,labda angeteuliwa kuwa Balozi au katibu mkuu wizara flani.
Mama kawala vichwa kuna Ibuge,Mbogo na huyu Mbuge.
Huyu Mbuge alikuwa mzuri kabla Magufuli hajamtumia kutumia JKT kupiga piga wapinzani na kupora kura zao..Ibuge yeye kabugi kwa sababu mataifa yetu yaliingia migogoro ya kidplomasia na mzee wa Takukuru kabambikia watu makesi kama yote.
 
JKT siyo Kitengo katika JWTZ bali ni moja kati ya Kamandi 5 za JWTZ amabayo kwa kawaida huongozwa na Mwanajeshi mwenye cheo cha Meja Jenerali. Wote hawa ni Wanajeshi ila majukumu ni tofauti. Jukumu la JKT ni Malezi kwa vijana, Ulinzi wa Taifa na Uzalishaji mali. Ikitokea vita wote watavaa nguo za mapambano na watabeba bunduki kwenda vitani. Baadhi ya Wakuu wa Majeshi walipitia katika uongozi wa kamandi hii kama Jenerali Mwamunyange n.k.
Kimajukumu 'scope' ya Ukuu wa JKT ni wa TZ nzima na Ukuu wa Mkoa ni wa Mkoa husika. Ki-hadhi hajashuka kwani bado ni Ofisa wa Jeshi Mwandamizi ambaye amepelekwa kwenye majukumu ya kisiasa.
Kwa kawaida uamuzi kama huu hufanyika ili kumwondoa kwenye majukumu fulani hasa anapoharibu au kufanya kazi fulani ya muda ya siri au dhahiri.
Meja Jenerali Mbuge ni 'Born Town' na umri unaruhusi hivyo ata-'bounce back soon'..
 
Mkuu wa JKT huwasiliana na Rais kupitia kwa CDF, wakati mkuu wa mkoa huwasiliana na rais moja kwa moja! Tofauti kubwa kabisa, labda tusema anapunguzuiwa influence jeshini.
Mkuu wa mkoa kiprotokali ana-report kwa Waziri wa Tamisemi.

Mawaziri kiprotokali wana-report kwa Waziri Mkuu.

Rais ni mtu mkubwa sana kuanza kuongea na Mkuu wa Mkoa. Unless Rais ndio ampigie RC. Lakini sio RC ampigie Rais.
 
JKT siyo Kitengo katika JWTZ bali ni moja kati ya Kamandi 5 za JWTZ amabayo kwa kawaida huongozwa na Mwanajeshi mwenye cheo cha Meja Jenerali. Wote hawa ni Wanajeshi ila majukumu ni tofauti. Jukumu la JKT ni Malezi kwa vijana, Ulinzi wa Taifa na Uzalishaji mali. Ikitokea vita wote watavaa nguo za mapambano na watabeba bunduki kwenda vitani. Baadhi ya Wakuu wa Majeshi walipitia katika uongozi wa kamandi hii kama Jenerali Mwamunyange n.k.
Kimajukumu 'scope' ya Ukuu wa JKT ni wa TZ nzima na Ukuu wa Mkoa ni wa Mkoa husika. Ki-hadhi hajashuka kwani bado ni Ofisa wa Jeshi Mwandamizi ambaye amepelekwa kwenye majukumu ya kisiasa.
Kwa kawaida uamuzi kama huu hufanyika ili kumwondoa kwenye majukumu fulani hasa anapoharibu au kufanya kazi fulani ya muda ya siri au dhahiri.
Meja Jenerali Mbuge ni 'Born Town' na umri unaruhusi hivyo ata-'bounce back soon'..
Eti ata - "bounce back soon".

Jipe Moyo tu.

Ungejua hata hiyo waliyompa wamemstahi tu
 
Mkuu wa mkoa kiprotokali ana-report kwa Waziri wa Tamisemi.

Mawaziri kiprotokali wana-report kwa Waziri Mkuu.

Rais ni mtu mkubwa sana kuanza kuongea na Mkuu wa Mkoa. Unless Rais ndio ampigie RC. Lakini sio RC ampigie Rais.

Siyo kweli ndugu yangu; Tamisemi inaishia kwa wakurugenzi tu, yaani watendaji wakuu wa serikali za mitaa ikihusiasha madiwani na mameya. Mkuu wa mkoa anaripoti moja kwa moja kwa rais kwa vile ni mwakilishi wa rais mkoani kwake. Soma tena katiba vizuri. Ndiyo maana matatizo yote ya kiutendaji kwa wakuu wa mikoa na wale wa wilaya hutatuliwa na rais tu, siyo Waziri mkuu wala waziri wa tamisemi.
 
Huyu jamaa kashushwa sana ,labda angeteuliwa kuwa Balozi au katibu mkuu wizara flani.
Mama kawala vichwa kuna Ibuge,Mbogo na huyu Mbuge.
Huyu Mbuge alikuwa mzuri kabla Magufuli hajamtumia kutumia JKT kupiga piga wapinzani na kupora kura zao..Ibuge yeye kabugi kwa sababu mataifa yetu yaliingia migogoro ya kidplomasia na mzee wa Takukuru kabambikia watu makesi kama yote.
Ibughe alikuwa kanali sasa Brigedia yule wa PCCB alikuwa Brigedia sasa ni Meja General tena last weeks

Mara nyingi kijeshi ukishapanda rank tegemea kubadilishiwa majukumu muda wowote
 
Hii ndio shida ya watu wa jeshi kuteuliwa kwenye nafasi za kisiasa. Ikitokea reshuffle anapata wakati mgumu. Kurudishwa jeshini inakuwa shida
 
Ibughe alikuwa kanali sasa Brigedia yule wa PCCB alikuwa Brigedia sasa ni Meja General tena last weeks

Mara nyingi kijeshi ukishapanda rank tegemea kubadilishiwa majukumu muda wowote
Mkuu una uelewa mzuri sana tena sana...asante kutuelewesha sisi wengine ambao kidogo tupo nyuma ya haya mambo....
 
Back
Top Bottom