Majoja nipo nipo kwanza!

Majoja

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
612
186
Hodini wataalam,nnekuja na mie kunusanusa na kupata na kushiriki khabari moto moto.
Nnesikia JF mtandawo kiboko kwa habari,maoni nk
Bandugu nakaribia
 
images
 
Asanteni sana ndugu zangu, mnisahihishe popote nitakapokosea
 
JF kua a GT inatakiwa ulete miguu yako yoote hapa!
Acha mambo ya kunusa nusa then utafaidi...

Hata hivyo karibu saana.
 
JF kua a GT inatakiwa ulete miguu yako yoote hapa!
Acha mambo ya kunusa nusa then utafaidi...

Hata hivyo karibu saana.
Yaani, we acha tu
Sijanusa nimekula kabisa , na niliweka tatizo langu posti fulani na kweli nimefaidika na wana JF.
 
Back
Top Bottom