Majirani wameanza kununua passport za bongo kwa kukongojea Noah

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,450
2,000
majirani zetu wamejaribia kusubiri mema ya nchi wamejipanga kwa kununua passport. Wengine wamekwenda mbali zaidi mpaka kupata hati ya mahakama kutumia ubin wa Nyerere.
Mbona taarifa haina kishikio ebu weka mifano kabisa Kumbuka wewe ndiye mwenye taarifa siye wengine hatuna kabisa ili kama unataka tulifanyie kazi tuanzie wapi
 

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
43,635
2,000
K
Dah...Unataka taarifa ya nini tena badala ya kwenda Driving school bana.....Kumbuka kila mtu atakuwa na yake..unakabidhiwa bandarini unasepa......hakuna wa kukusaidia kuendesha:D:D:D:D:D:D:D:D
umbe foleni ni I bandarini nilifikiri tunazisubiri kwa mwenyekiti wa mtaa/kijiji kama zile milioni 50
 

Kifyatu

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
3,385
2,000
majirani zetu wamejaribu kusubiri mema ya nchi wamejipanga kwa kununua passport. Wengine wamekwenda mbali zaidi mpaka kupata hati ya mahakama kutumia ubin wa Nyerere.
Noah zitagawiwa kwa kaya dada. Kama mjumbe wa nyumba 10 hakujui we ulie tu. Nyang'au mmetusikia?
 

hyusuph

JF-Expert Member
Dec 5, 2013
1,656
2,000
Mbona taarifa haina kishikio ebu weka mifano kabisa Kumbuka wewe ndiye mwenye taarifa siye wengine hatuna kabisa ili kama unataka tulifanyie kazi tuanzie wapi
We hujaelewa tu,ni maandalizi mara baada ya makinikia kulipwa watanzania.

Si kuna tetesi eti kila mtanzania atakuwa na uwezo wa kulipwa PESA kiasi cha kuwa na uwezo wa kumiliki noah
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom