Majini & Mapepo 👻🤔

Majini & Mapepo 👻🤔

Hata binadamu ni wabaya ?
Hivi binadamu ni product ya nani?
wote ni viumbe wale wale , kusema majini wote mabaya sio kweli na haipo ..Leo hata ukisema kitu fulani kipigwe marufuku bado watu watatumia kwa tamaa zao , leo biashara za madawa ni marufuku ila watu bado wanapush hizo biashara so ni chaguo lako.
 
Kwani hujui kule kanisani mapepo huwabamiza chini bila huruma.

Kwa mfano, kuna mama mmoja hapa jirani anamakovu mwili mzima kwa sababu ya kukatwa mitama na pepo.

Yaani, pepo anakukata mtama na hajali kama utaangukia kiti ama la! 🥲
Watu wa nashindwa kutofautisha mental illness na mapepo, watu wengi wana matatizo ya afya ya akili ila wanasingizia mapepo
 
Kwahiyo, unasema Mungu hakuumba kiumbe kikiwa kibaya, bali original ya kila kiumbe ni chema

Sasa Je, Mungu hakujua kwamba viumbe hawa wema baadaye wangebadilika na kuwa waovu? Kama alijua, kwa nini hakuzuia hilo lisitokee?

Au nayo ilikuwa sehemu ya mpango wake?
Na hata baada ya kukengeuka angweza kuwafulia mbali viumbe waasisi wote ili walio haki waendelee kumtii na kumwabudu milele.

Hoja ni pana lakini vitabu vimeweka limit ya kutohoji mambo ya msingi. Ikiwa tu kwenye jamii yetu akitokea mtu akawa mwizi nk anafungwa ama kuuliwa kabisa ili kumtenga mbali na jamii ya ambao hawana tabia hizo ili kutokomeza kabisa tabia hiyo isije kurithiwa.
 
Hoja ni pana lakini vitabu vimeweka limit ya kutohoji mambo ya msingi. Ikiwa tu kwenye jamii yetu akitokea mtu akawa mwizi nk anafungwa ama kuuliwa kabisa ili kumtenga mbali na jamii ya ambao hawana tabia hizo ili kutokomeza kabisa tabia hiyo isije kurithiwa na watu wengine.
 
wote ni viumbe wale wale , kusema majini wote mabaya sio kweli na haipo ..Leo hata ukisema kitu fulani kipigwe marufuku bado watu watatumia kwa tamaa zao , leo biashara za madawa ni marufuku ila watu bado wanapush hizo biashara so ni chaguo lako.
Hao majini wenyewe wapo wapi achilia mbali kusema ni wabaya
 
Unajua walioiandika biblia hii inayotumika (wachapishaji) wanakubali kua walifanya makosa mengi tu, inawezekana kuna hadithi na simulizi zipo tofauti na uhalisia wenyewe
Bibilia ukisoma kwa makini unagundua kuna walakini
 
Na hata baada ya kukengeuka angweza kuwafulia mbali viumbe waasisi wote ili walio haki waendelee kumtii na kumwabudu milele.

Hoja ni pana lakini vitabu vimeweka limit ya kutohoji mambo ya msingi. Ikiwa tu kwenye jamii yetu akitokea mtu akawa mwizi nk anafungwa ama kuuliwa kabisa ili kumtenga mbali na jamii ya ambao hawana tabia hizo ili kutokomeza kabisa tabia hiyo isije kurithiwa.
Hakiaka mkuu upo sahihi
Walioasi wangeweza kuangamizwa ili kuepusha madhara kwanini wakaacwa
Na pia why tuwekewe limit ya kuhoji

Tena hoja zenyewe zina mantiki
Kinaficwa nini hapo
 
Na hata baada ya kukengeuka angweza kuwafulia mbali viumbe waasisi wote ili walio haki waendelee kumtii na kumwabudu milele.

Hoja ni pana lakini vitabu vimeweka limit ya kutohoji mambo ya msingi. Ikiwa tu kwenye jamii yetu akitokea mtu akawa mwizi nk anafungwa ama kuuliwa kabisa ili kumtenga mbali na jamii ya ambao hawana tabia hizo ili kutokomeza kabisa tabia hiyo isije kurithiwa na watu wengine.
Naunga mkono hoja
 
Siku zote alikili ya uasi hujipatia fursa ya kumjadili Mungu. Na Mungu hajadiliwi maana hakuna asichokijua na hakuna kinachomshinda. Hizo kwanini zinakuchosha tu. Ameshakufanyia hivyo na utaishi hivyo na matokeo ni hayo moto au pepo. Mungu huombwa sio kujadiliwa muombe akupe imani na kuelewa usiyoyaelewa

Huna tofauti na mwana CCM. Poor you.
 
Unaweza ukajiuliza,
1.kwa Nini Mungu aumbe shetani ambae mm siwezi kupambana nae nikiwa kama Binadam?
2.Hayo majini au mapepo yapo au swaga?
3.Yesu aliomba mapepo yakaenda KWENYE ngurue, sasa ngurue hawana HAKI ya kuishi
Kama Yaliumbwa na Mungu?
4.kwa nn Mtu anakufa? Kwa Nini watakatifu wasiishi milele hapa duniani Ili wenye dhambi tujifunze kutenda mema?
5.kwa Nini watakatifu wanakufa kwa ajali,magonjwa au kwa kuangukiwa na msalaba Mungu kwa Nini anakubali?

Maswali ni mengi ila Ni Bora uamini yupo uende usimkute kuliko kutoamini hayupo alafu uende umkute.

Vitabu vya dini vina Kona nyingi sana
 
Kwa maswali yote hayo uliyojiuliza na kukosa majibu kisha unahitimisha kwa kusema et bora uamini yupo uende usimkute kuliko useme hayupo kisha umkute

Hivi hapo unakua umeamini au nikujidanganya mwenyewe
 
•Mungu yupo.

•Dunia tunayoijua sisi haifikii hata nukta ya maisha ya Dunia tusio ijua kwaiyo sisi hatujui vitu vingi sana.

•Dunia ni kamilifu na viumbe wote tokea kumbwa kwake.

•Lengo la uwepo wa Dunia halina jibu kwetu sisi wanadam maana hatutakiwi kujua na hamna haja ya kujua.

•Mifumo ya kimaisha inaongozwa na nature, kiumbe chochote kikifanya nje ya nature yake kitaharibika na kitakufa

•Kufa sio laana ni mfumo wa muhusika alitaka iwe hivo.

Nina imani Mungu hakutaka mashekhe wachungaji mawakili madaktari wala ma engineer ye keshaweka alichotaka kikae na kikawa timilifu, kilakiumbe ilibidi kiishi ndani ya circle ya nature yake
Sisi kama binadam ilibidi tule tunywe tuliwe na kufa ni kama tunda likikomaa inabidi litoke tuu lifate ardhi na kuanza kikazi upya

Inshort Dunia ilibidi ibaki kuobgozwa na nature tuu
Mfano;
- Kuhisi kuhitaji kufanya ngono ni nature
-Kuhisi khofu ni nature
-kuhisi njaa ni nature

Madhara mengi yametutokea sababu ya kuboresha na kuacha nature.
 
Back
Top Bottom