Isaiah Omondi Maji i
Member
- Aug 26, 2023
- 23
- 10
ADUI WA MUTU NI MUTU + TANGANIAN + AKO SAWA
Yupo sawa kwenye ni nini?ADUI WA MUTU NI MUTU + TANGANIAN + AKO SAWA
Ila kwa logic nyengine huenda yupo sahhi, muda anajua ni mchache wa kuteseka ila mafanikio ni ya muda mrefu, hivyo anaamua bora akuache uteseke kwa muda mfupi ila utakuja kuishi vizuri kwa muda mrefu zaadi,Yaani Mungu mwenyewe kama ni kwenye bibilia na Qur’an lol kasheshe
Mungu wa kwenye hizo dini ni mkali na hana huruma hata kidogo
Ukisoma bibilia na Qur’an utajionea
Huu mfano haukisi yaliyomo dosho12 usinitanie kabisaIla kwa logic nyengine huenda yupo sahhi, muda anajua ni mchache wa kuteseka ila mafanikio ni ya muda mrefu, hivyo anaamua bora akuache uteseke kwa muda mfupi ila utakuja kuishi vizuri kwa muda mrefu zaadi,
Kwa mfano ukimuona mtu anahangaika sana na unajua ana aslimia kubwa ya kufanikiwa kwa jinsi anavyohangaika je utamzuia asihangaike au utamuacha sababu unajua mafanikio yapo karibu tena ya muda mrefu ?
Ndio nakubali watu wanateseka ila huenda ni kwa muda mfupi, kwenye cosmic scale miaka 80 ni muda mchache pia naamini aslimia 80 ya matatizo yanaletwa na binadamu wenyewe hivyo kama tungeishi kwa harmony kama anavyotaka huenda maisha yangekuwa mazuri kiasi,Huu mfano haukisi yaliyomo dosho12 usinitanie kabisa
We huoni watu wanateseka mpaka wanajiua?
Sawa kijana mdogoNdio nakubali watu wanateseka ila huenda ni kwa muda mfupi, kwenye cosmic scale miaka 80 ni muda mchache pia naamini aslimia 80 ya matatizo yanaletwa na binadamu wenyewe hivyo kama tungeishi kwa harmony kama anavyotaka huenda maisha yangekuwa mazuri kiasi,
Najua kuna kitu unataka kuuliza ila unausingizi, kesho tutaendela tenaSawa kijana mdogo
Nikuulize 😆Najua kuna kitu unataka kuuliza ila unausingizi, kesho tutaendela tena