UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 18,262
- 9,673
Kwanza hakuna kiumbe kilichoumbwa chenye kuitwa shetani bali shetani ni jina la sifa kwa kiumbe mwenye kutenda matendo maovu, hivyo hajaumbwa shetani ili kushawishi watu bali huyo anayeitwa shetani amekuja kuitwa hivyo baada ya uovu wa matendo yake. Kama ulivyoelezea kuwa huyo shetani kwa mujibu wa ukristo alikuwa ni malaika na kwa mujibu wa uislamu alikuwa ni jini tena mchamungu.Kwanini Mungu alimuacha shetani atushawishi
Swali langu ni moja shetani aliacwa kwa sababu gani?
Yaani shetani kaumbwa kwa ajili ya kutushawishi?
Kama sio hivyo kwanini anacwa na anaonekana kua mharibifu?
Turudi kwenye kile nilichoeleza kwamba shetani hana nguvu ya kumlazimisha mtu kufanya maovu, kwa maana hata kama asingekuwepo shetani bado watu wangefanya maovu maana shetani ni mshawishi tu.