Din bila sayans n kiwete na sayans bila din n kipofu.
Mungu n nguvu ambayo ipo ila haielezeki kisayans wala kidin labda kwa izi fani kuungana nakutafuta lugha moja itayoeleweka.
Kifupi Mungu n nguvu ambayo ipo ila tunashindwa kuielezea sababu maelezo yake yanafeli kwenye nature, reality, theory, option had fact.
Mfano kifalsafa Mungu n nothind to everything na shetan n nothing to something _ n kama unavyobun kitu ambacho hakijawah kuwepo iyo n nothing to things, ndivyo izi nguvu zilivyoibuka.
Kisayansi Mungu n nguvu chanya na Shetan n nguvu hasi,
Nguvu hasi inatokana na nguvu chanya, n kama tu kwenye biashara faida kinyume chake n hasara.
Kidini au Kiiman Mungu n Nuru na Shetan n Giza, Giza halikuumbwa ila n kinyume cha Nuru,
Neno UASI n kinyume, kinyume cha wema n ubaya, kinyume cha mwanga n giza; apo ndo UAS au kinyume ikaitwa shetan au negative energy.
Negative energy ilivyomuingia malaika ndo akaitwa shetan, kumbe shetan sio malaika bali n ile nguvu hasi iliyomuingia malaika Lucifer na malaika aliowaambukiza iyo nguvu ndo mapepo.
Majin chanzo chake hakielewek maana uislam n din ya tamadun za kiarabu, tamadun ambazo ata makabila yetu yanazo na yana vitu ving kama mizim mizuka vinyamkera zimwi na mahoka kibao ambayo ata wanaoamin hawana uhakika nayo.