ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 21,391
- 49,699
- Thread starter
- #121
Tuachane nayo kama vipi naona lugha gonganaRudia ulichokiandika na nilivyokujibu 😀
Tuachane nayo kama vipi naona lugha gonganaRudia ulichokiandika na nilivyokujibu 😀
Ni mtazamo wako, huu lakini wewe imani yako ipo kwa nani ?Mungu hayupo
Na kama yupo basi sio huyo wa kwenye hivyo vitabu vya dini aisee maana huyo Mungu wa kwenye vitabu vya dini ana walakini
Mbona unajaa upepo ?Tuachane nayo kama vipi naona lugha gongana
Kusema Mungu hayupo ni hiari yangu binafsi kwa sababu huyo Mungu sijamuonaNi mtazamo wako, huu lakini wewe imani yako ipo kwa nani ?
Dereva anayekuendesha ?
Mpishi anayekupikia chakula ?
Mbunifu wa mavazi ?
Kwanini imani yako kwa Mungu imekuwa haba ? Kwa sababu gani ? Huoni uwepo wake katika maisha yako ? Au kwa sababu una akili, fikra na ufahamu wa mambo unakiri hadharani Mungu hayupo ?
Asante kwa maoni 🙏Mbona unajaa upepo ?
Umeniuliza nina uhakika na Mungu ninayemuabudu na kumuamini ?
Nikakujibu kama nilivyokujibu
Umeleta mada kwahiyo mgongano wa mawazo usikukwaze, wote tupo kubadilishana mawazo sio kuona nani yupo sahihiAsante kwa maoni 🙏
Siendelezi mjadala na mtu hatuelewani
Una nini kwani bro ?Umeleta mada kwahiyo mgongano wa mawazo usikukwaze, wote tupo kubadilishana mawazo sio kuona nani yupo sahihi
Walakini upi...?Mungu hayupo
Na kama yupo basi sio huyo wa kwenye hivyo vitabu vya dini aisee maana huyo Mungu wa kwenye vitabu vya dini ana walakini
Imagine unazidiwa na shetan anaamini Mungu yupo...😒😒Mungu hayupo
Na kama yupo basi sio huyo wa kwenye hivyo vitabu vya dini aisee maana huyo Mungu wa kwenye vitabu vya dini ana walakini
Huyo shetani umemuona wapi?Imagine unazidiwa na shetan anaamini Mungu yupo...😒😒
Dunia ipo shaghala baghala vita maafa matetemeko yeye ana angaliaWalakini upi...?
Mwenyezi Mungu anasema:Huyo shetani umemuona wapi?
Haya poaMwenyezi Mungu anasema:
Shetan uwafundisha watu kubishana kwa uwongo,ili kwa uwongo huwo waivunje kweli.
Pili
Imekatazwa kumlazimisha mtu aamini
Tatu
Humpunguzii Mungu kitu chochote kwa kutokumuani, maana mitoni ndo marejeo yenu.
Wew unahisi vita imeanza kupiganwa leo...???Dunia ipo shaghala baghala vita maafa matetemeko yeye ana angalia
Wew lete hoja zako za Mungu hayupo na Mimi nitaleta hoja zangu za Mungu yupoHaya poa
Lakini wengi wenu mnakimbilia huko badala ya kujenga hoja
Mungu yupo wapi?Wew lete hoja zako za Mungu hayupo na Mimi nitaleta hoja zangu za Mungu yupo
Sina hoja za matusi
Kwanini Mungu anaruhusu vita nafurahia watu wakifa ?Wew unahisi vita imeanza kupiganwa leo...???
Piganeni nao kadri watakavyokupigeni
Sometimes ukali unahitajika kidogo.Unamfundisha ujinga
Shetan huwachochea watu kwa mahasi...Kwanini Mungu anaruhusu vita nafurahia watu wakifa ?
Anaona raha watu wakiuana?
🔥🔥Sometimes ukali unahitajika kidogo.