Majini & Mapepo 👻🤔

Majini & Mapepo 👻🤔

Hayo madude ndio kitu pekee mwarabu aliweza kukigundua kupitia ilimu yake ya maandishi ya kukariri ya kurudi kinyume nyume. Ndio alituletea kwa majahazi alipokuja kuleta biashara ya utumwa na dini yake. Bila hiyo nyenzo hakuna mwenye akili timamu angekubali kuuzwa kama ngombe au kukubali kuacha tamaduni zake na kuanza kufuata za kiarabu kuanzia majina, vyakula, lugha na mavazi
 
Na umeandika in the midnight, wooo😱

Jana mida ya saa 6 usiku nikaingia Tiktok, ghafla bin vuuu nakutana na live ya mtu (ke), maneno aliyokuwa anaongea na muonekano wake ukawa kama unabadilika badilika kwa mbali, niliogopa nikatoka chap😁😁
 
Kwahiyo wewe wasiwasi ni uwepo wa Mungu au Mungu hayupo?

Na kama umesoma madrasa...hofu yako ni nini?
Mungu hayupo
Na kama yupo basi sio huyo wa kwenye hivyo vitabu vya dini aisee maana huyo Mungu wa kwenye vitabu vya dini ana walakini
 
Hayo madude ndio kitu pekee mwarabu aliweza kukigundua kupitia ilimu yake ya maandishi ya kukariri ya kurudi kinyume nyume. Ndio alituletea kwa majahazi alipokuja kuleta biashara ya utumwa na dini yake. Bila hiyo nyenzo hakuna mwenye akili timamu angekubali kuuzwa kama ngombe au kukubali kuacha tamaduni zake na kuanza kufuata za kiarabu kuanzia majina, vyakula, lugha na mavazi
Juzi wamenyonga watu kisa wamefanya mapenzi msikitini

Nilidhani Mungu mwenyewe ange react

Unapowasema waarabu usisahau na wazungu
 
Na umeandika in the midnight, wooo😱

Jana mida ya saa 6 usiku nikaingia Tiktok, ghafla bin vuuu nakutana na live ya mtu (ke), maneno aliyokuwa anaongea na muonekano wake ukawa kama unabadilika badilika kwa mbali, niliogopa nikatoka chap😁😁
Yes niliandika usiku sa 7 😅😅
Alikua anabadilika vipi?
 
Mbona unacheka sasa...au hujawai ona watu wanakufa wakiwa wana abudu...kule maka mbona wengi wanakufa kwa kukanyagana na kupigana mawe wkt wa kumpiga mawe shetani..huo msalaba utakua ulikua umeshalegea muda mrf...
Taratibu 😅😅
 
Nimecheka gif ya dada yangu , si huyo Father, na nilikuwa namtania Dada yangu kwamba hata msalaba unaweza ukakusababishia madhara pia.

Mimi ni Muumin safi na huwa naamini dini zipo kwa qjili ya kutufanya tuwe na ustaarabu fulani ukiachana na kukutana kwa ajili ya kuabudu.
 
Back
Top Bottom