jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,334
Ni tafakuri chokonozi, imechochewa na ahadi tulizoahidiwa kuwa eti "hakuna jiwe litakaloachwa juu ya jiwe"
Kwa maneno yake mwenyewe Makonda alisema wanaotajwa wanatokana na uchunguzi wa zaidi ya miaka kumi.
Tuambiane hapa, kitaani kwenu nani kakamatwa kwa tuhuma za kujihusisha na dawa za kulevya.