CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Napenda sana mwanangu wa kiume nimwite Jesus.
Wanangu ni wanne na majina haya hapa. THEBOSS. EXELLENT. JJ. QUEEN.
duh we mkare,haya tuambie kwa nini uliyapenda hayô majina?
Me mwanangu kipenzi wa kiume anaitwa George jr,
nimempatia jina hilo kwani nampenda sana dad yangu mzazi.
wa kwangu nitamwita Mchina. Kuwaenzi wachina kwa kuniwezesha kuwasiliana na haka kamchina kangu.
lolest, bd kuzaa ndio yupo njiani, ila hubby Asprin alisema atamuita @klorokwin, lol!
Napenda sana mwanangu wa kiume nimwite Jesus.
Hahahaha wife bana. Mitoto yetu hii ukiyaita majina hayo si itakuwa balaa. Tutafuata nyayo ya kuenzi lugha yetu kama nilivyofanya na mke mkubwa BADILI TABIA tulivyowaita Havintishi na dada yake Msinune.
Utafiti unaonyesha watu wengi wanaoitwa George ni walizni wazuri sana.Me mwanangu kipenzi wa kiume anaitwa George jr,
nimempatia jina hilo kwani nampenda sana dad yangu mzazi.
Utafiti unaonyesha watu wengi wanaoitwa George ni walizni wazuri sana.